Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Sijui wanadanganywaga na nani 🤣🤣🤣Kwamba ukiwa Usalama unaweza kuwa na namba zote na Kufanya kila kitu
Na wakati hata mitandaoni namba za Civil servant zipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui wanadanganywaga na nani 🤣🤣🤣Kwamba ukiwa Usalama unaweza kuwa na namba zote na Kufanya kila kitu
Umeanza kujikweza we CHIZI... hivi we jamaa kabila gani?! 🤣🙌🏾Ukionana nae tena muulize je, hana Namba yangu GENTAMYCINE anayesomwa mno na Rais Samia na Kucheka hapa JamiiForums?
Kuna muda humu ndani unakutana na jamaaHuyo adriz kuna uzi tulinyukana kisawasawa akanikimbia, ana mrengo wa dini fulani anaitetea sana. Bujibuji Simba Nyanaume ni mgumu kumbandua kwenye hoja zake, kunyukana naye itaka pumzi kubwa. Daudi mchambuzi huyu member sijawahi kunyukana naye namuona ni mpole fulani hivi. Anyway humu tupo members wenye kazi na ujuzi mbalimbali tutaendelea kunyukana kwa hoja tukitofautiana fikra pevu
Bujibuji Simba Nyamaume kunatuhuma zako huku 😆Mwenyezi Mungu anisamehe ila sina Imani na hawa Daudi Mchambuzi, adriz, Bila bila na Bujibuji Simba Nyamaume nahisi ni Watu wa SSIT ( Mfumo )
Kuna wengine ni wapuuzi tu.Yaani connection yake ni kubwa sana ndio maana nimesema tunahisi kama ni usalama sijasema yeye ni usalama.
Umesahau NybomaMwenyezi Mungu anisamehe ila sina Imani na hawa Daudi Mchambuzi, adriz, Bila bila na Bujibuji Simba Nyamaume nahisi ni Watu wa SSIT ( Mfumo )
Mbweni au Makumbusho?Nilisimamia kazi maeneo ya ofsi zao sasa mlinzi wao akaja naye kucheki kuchunguliachungulia eneo la kazi tulikaa naye zaidi ya masaa mawili nikasema hii sura naikariri nikionana naye mtaani tujuane chakushangaza nilipotoka pale na sura yake ikapotea hata nikikutana naye siwezi kumjua.
Mkoa ganiKuna wengine ni wapuuzi tu.
Hapa nilipo Kuna mjinga Kama huyo, anajifanya TISS yeye akiamka anaenda Kuzurula ofisi ya DC akienda mgeni anajifanya kumwambia DC Yuko busy, ilimradi kujiongeza ongeza ila jamaa ni tapeli tapeli tu.
Sometimes anaweza kupanda gari tu kwenda sehemu bila issue yoyote, anadanganya anaenda kuonana na watu wa Rais[emoji28]
KilimanjaroMkoa gani
Keyboard zao mbovu ila hawa watu mbona mimi sijawahi kuwachukulia serious 😂 basi tuKwani TISS wa humu wanasemaje? [emoji848]
Keyboard zao mbovu ila hawa watu mbona mimi sijawahi kuwachukulia serious
Mzanaki, Mmakuwa na Mtutsi kwa mbali.Umeanza kujikweza we CHIZI... hivi we jamaa kabila gani?! 🤣🙌🏾
Mkuu yaani Nimecheka mpaka basi!!!Nilisimamia kazi maeneo ya ofsi zao sasa mlinzi wao akaja naye kucheki kuchunguliachungulia eneo la kazi tulikaa naye zaidi ya masaa mawili nikasema hii sura naikariri nikionana naye mtaani tujuane chakushangaza nilipotoka pale na sura yake ikapotea hata nikikutana naye siwezi kumjua.
🤣🤣🤣 yangu anayo?Kuna mjomba wangu mmoja anafanya kazi wizara fulani yaani yule jamaa sijui utake namba ya nani Tanzania asikupe ambayo hana labda za mama samia ukitaka namba ya ofisi ya mtu wowote yule namba personal chap anakupa unawasiliana nae mpaka home tunahisi jamaa ni usalama.
🤣🤣🤣🤣🤣Aloooonitamshika Sana manyonyo gles buji
Na Yule mwingine aliyemtishiaga saanane humu na kumuapizia ID imenitoka sijui yohana mbatizani sikumbuki vzrMwenyezi Mungu anisamehe ila sina Imani na hawa Daudi Mchambuzi, adriz, Bila bila na Bujibuji Simba Nyamaume nahisi ni Watu wa SSIT ( Mfumo )
Eee kwel na mm nakuona huna umaruf wowote. [emoji56]mi mbona sina umaarufu humu? Sitajwitajwi kama nyie haipiti wiki mnatajwatajwa sana. Mi ni raia wa kawaida sana, sina umaarufu wowote nchi hii