Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kivipi mkuuKigamboni imekwamishwa na matajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi mkuuKigamboni imekwamishwa na matajiri
Nafikiri Swala la Lami litafuatia baada ya barabara ya Msongola Mbande kukamilika.
Si unajua wananchi wa Kitunda Kivule wasivyo na dogo.
Una wazo kama langu ila Mkuu mbona bar unaweza kuanza ujenzi Lami itakukuta kati kati ya project yako
Kisota kumepangika vyema sana.Mkuu Kigamboni ni kubwa na inaendelea kwa kasi labda hujaifuatilia.
Kisota,Mwongozo dege,Kibada,Gezaulole kote huko kunajengeka kwa kasi sana .
Hiyo Kisota ukifika unaweza ukaikataa Masaki.
Sema usitarajie kote kujengeke kwa haraka.
Ila kiwanja chake gusa uone hizo bei.Kisota kumepangika vyema sana.
Sheria ichukue mkondo wakeUkitaka ukae sehemu ambayo inakuwa haraka. Nenda sehemu ambapo watu wa kipato cha kati na maskini wanajenga.
Kigamboni viwanja vingi na maeneo vinamilikiwa na watu matajiri ambao hawana shida ya nyumba za kuishi.
Unakuta mtu ana nyumba mbezi beach ila amenunua kiwanja kigamboni.
Huyo mtu hawezi kujenga leo wala kesho.
Hao ndio wanachelewesha mji kukua.
Tofauti na maeneo kama chanika maana wanaonunua viwanja ni watu wenye shida ya nyumba za kuishi. Hivyo wanajenga fasta mji unajaa
Umetisha mkuuMimi mfanyabiashara sitaki kufukia hela.
Nitakapoona mkandarasi yupo site wa kujenga lami ya banana mpaka msongola. Ndipo nami nitaenda site kuanza ujenzi. Najua ndani ya miaka mitatu lami imekamilika nami bar yangu imekamilika.. naanza waletea kina misso missondo wawarushe watoto wa kivule
Kuna baadhi ya Wahindi walishikilia maeneo Kigamboni, Magufuli aliwanyang'anya wengi hawakumuelewa. Hao ndio wakwamisha maendeleo. Wao wako Upanga wanawekea mapori wenzao.Sheria ichukue mkondo wake
moja ya masharti ya Hati ya ardhi ni kuanza kujenga ndani ya miezi 36 tangu kumilikishwa ardhi
Kisota viwanja ni bei sana ni eneo la wenye nazo, Kibada napo kumeendelea sio pa kubeza.Ila kiwanja chake gusa uone hizo bei.
Mie nipo Kibada chekechea napo kumejengeka kimpangilio pia
Ukitaka uishi kwa raha mustarehe pasi na fujo njoo ujenge Kigamboni.Sijajua ila nimekaa cheka... Naona freshi kabisa kabisa kwa wasiopenda fujo za dar...
Chanika nilienda 2017 kulikuwa kuna wazaramo tuu siku hizi unaweza potea...
Charles kilian toa neno kuhusi kigamboni yako
Kg ikifikia level za Sinza nahamia Kimbiji huko.Originally Kigamboni ni mji wa watsaafu wsiotaka kelele za ma bar kama ya sinza na misomgomano na mafoleni...baada ya daraja kujengws ndo baadhi ya watu wanataka Kigamboni iwe kama Sinza...wakati wenyeji siku zote hawataki hizo kelele...
Ukivuka Tu Kigamboni...inakuwa hakuna foleni wala makelele...Saa tatu Tu mji uko kiimya.....
Kuna mtu alitaka kuniuzia kiwanja sehemu inaitwa Kisota, na huko vipi ni maporini?NB: Mimi mwenyewe ni mwana kigamboni
Kuna baadhi ya Wahindi walishikilia maeneo Kigamboni, Magufuli aliwanyang'anya wengi hawakumuelewa. Hao ndio wakwamisha maendeleo. Wao wako Upanga wanawekea mapori wenzao.
Vijibweni ipi kota za Nunge ama??Kule vijibweni Kuna kotaz za serikali walijenga zamani kidogo naona walipoona hakuna maendeleo wakatundika daruga
Kaka kisota ni over Masaki.Kuna mtu alitaka kuniuzia kiwanja sehemu inaitwa kisota, na huko vipi ni maporini?
Sio wewe Tu...watu wengi watahama ...maeneo yenye misomgomano...Kg ikifikia level za Sinza nahamia Kimbiji huko.