1.Kutoka Pugu-Pugu Kajiungeni-Majohe-Buyuni-Chanika-Mvuti hadi Msongola,
0.Barabara ya lami ni moja.
2.Hakuna hata stendi za mabasi
3.Hakuna connection ya maji safi ya Dawasco ipo chini.
4.Hakuna hospitali kubwa ya serikali wala binafsi.
5.Nyumba zimejengwa ovyo, nyingi zina nyufa.
6.Barabara za mitaa ni mbovu balaa,
7.Mmonyoko mwingi wa udongo
8.Hakuna sehemu nzuri za starehe.
9.Hakuna chuo hata kimoko.
10.Mahitaji makubwa katika maduka mpaka Gongo la Mboto.
11.matawi ya Benki ni mawili.
12.Kuna mashamba ya Mpunga, Mihogo na viazi vitamu.
13.kuna mapori kibao tu (Majohe,Buyuni,Zingiziwa,Mvuti)
14.Hata maeneo ya makabuli ni hayaeleweki.
Sasa mnaposema Kigamboni ipo nyuma, sijui Chanika pame endelea ,mtuambie na vigezo mlivyotumia.