plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 881
- 1,537
Kibada chekechea ni TemekeIla kiwanja chake gusa uone hizo bei.
Mie nipo Kibada chekechea napo kumejengeka kimpangilio pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibada chekechea ni TemekeIla kiwanja chake gusa uone hizo bei.
Mie nipo Kibada chekechea napo kumejengeka kimpangilio pia
Kibada ni TemekeDaresalaam estate housing projects..nyingi ziko Kigamboni kuliko wilaya yeyote Ile Dar..
Watumishi housing
Avic town..
South beach geza
South beach Kisota
Nssf Mwongozo
Nssf kijichi
NHC kibada
NHC mwongozo
Hamidu city mikwambe...
Halafu mtu anasema Kigamboni haipigi maendeleo kisa hakuna bar nyingi kama Sinza
Kibada chekechea sio Temeke.Kibada chekechea ni Temeke
KIBADA NI KATA YA KIGAMBONI WE JAMAAKibada ni Temeke
Kibada ni Temeke
Kibada ni Temeke toka lini kaka?Kibada chekechea ni Temeke
mimi nadhani ungetaja vitu ambavyo unique, sehemu ikiitwa wilaya kuwa na huduma muhimu kama maji, hospital sijui polisi, chuo kikuu ni mambo ya kawaida siyo kushangaa ni haki yako mwananchi1.Kigamboni ndiyo wilaya kubwa kuliko zote
2.Ndiyo Wilaya iliyo pangwa kuliko zote.
3.Kigamboni ndiyo inayojitoshereza kwa huduma ya maji.Serikali wamejenga mavisima makubwa sana.
4.Kigamboni haina vichochoro.
5.Kuna eneo kubwa la Viwanda
6.Ina hospitali ya Wilaya
7.Ina Polisi wilaya
8.Miradi mikubwa ya ujenzi wa apartments
9.Ina fukwe safi kuliko zote Dar.
10.Ina sehemu za starehe za kutosha
11.Ina maeneo ya stendi ya kutosha
12.Ina Mitandao ya barabara inayoendelea kuongezeka kila siku.
13.Ina huduma za kibenki.
14.Ina chuo Kikukuu
Kwani maendeleo kwako unapima kwa kuangalia kipi.
ondoa kijichi tu hapo mkuuDaresalaam estate housing projects..nyingi ziko Kigamboni kuliko wilaya yeyote Ile Dar..
Watumishi housing
Avic town..
South beach geza
South beach Kisota
Nssf Mwongozo
Nssf kijichi
NHC kibada
NHC mwongozo
Hamidu city mikwambe...
Halafu mtu anasema Kigamboni haipigi maendeleo kisa hakuna bar nyingi kama Sinza
Kigambon miundombinu mibovu sanaNimekubali makosa, ila kila kwenye jina Homboza nililenga kupataja Nzasa.
Mimwenyewe nahama mwaka huuu, PAMEKAA kiree sanaSerikali isipochukua hatua tutaendelea kujenga shule vituo vya afya na huduma za maji na umeme mpaka dunia inaisha haiwezekani kila siku watu wanahama na kwenda kuanzisha makazi mapya huu utaratibu ni wa hovyo.
Mbona husifii kwingine kunakoboreshwa??View attachment 2924170
kutoka kibada Hadi kimbiji, kilometa zaidi ya 30, Hali ndio hii
Hapo kama nimekuelewa, unakuta mtu ana heka 10, anaziacha tuu zinakua mapori na sio mmoja ni wengiUkitaka ukae sehemu ambayo inakuwa haraka. Nenda sehemu ambapo watu wa kipato cha kati na maskini wanajenga.
Kigamboni viwanja vingi na maeneo vinamilikiwa na watu matajiri ambao hawana shida ya nyumba za kuishi.
Unakuta mtu ana nyumba Mbezi beach ila amenunua kiwanja Kigamboni.
Huyo mtu hawezi kujenga leo wala kesho.
Hao ndio wanachelewesha mji kukua.
Tofauti na maeneo kama Chanika maana wanaonunua viwanja ni watu wenye shida ya nyumba za kuishi. Hivyo wanajenga fasta mji unajaa
Kigamboni ni kubwa sana, wewe unataja huko mwanzo mwanzo, Toka dege nenda kimbiji Hadi Pemba mnazi, tokea kibada pita mwasonga nenda kimbiji au tundwi songani, mkamba, Shariff, sacos, ngoma mapinduzi ni mapori tu unaweza ukasema sio dar Kuna nyumba Hadi za topeMkuu Kigamboni ni kubwa na inaendelea kwa kasi labda hujaifuatilia.
Kisota,Mwongozo dege,Kibada,Gezaulole kote huko kunajengeka kwa kasi sana .
Hiyo Kisota ukifika unaweza ukaikataa Masaki.
Sema usitarajie kote kujengeke kwa haraka.
Kweli Mimi mwenyewe picha niliokua nayo kuhusu chanika ni tofauti na nlichokiona, pamekua mjini kama pale msumbiji sio poa na idadi ya watu imekua kubwa sanaChanika imeendelea.sana, majuzi nilimtembelea Rafiki yangu aliejenga huko mtazamo wangu juua ya Chanika ulibadilika, Kigamboni maendekeo yake hayakwepeki siku za usoni, nadhani kuchelewa kwake kuna manufaa pia ya kufanya planning ya mji, Ile Hype ya watu kukimbilia kujenga eneo moja inafanya mpangilio wa mji uwe Mbovu mfano halisi ni Goba.
Na Kwa biashara sehemu kama hizo ndio zinafaa umeamua kitu Cha uhakika hapoMimi mwaka 2022 nilitaka nunua kiwanja Kigamboni kwa ajili ya kujenga bar mbeleni.
Afisa ardhi ndio akanipa siri. Kwamba Kigamboni inachelewa kukua sababu viwanja vingi ni vya matajiri ambao hawana shida ya kujenga leo. Akaniambia kama nataka kiwanja cha kujenga bar nenda miji mipya inayojaa kwa kasi kama Goba, Chanika, Kivule ama Magole. Ni Miji inayokuwa kwa kasi
Ndipo nikaenda nunua kiwanja Kivule fremu 10.
Kiwanja nilinunua milion 5 mwaka 2022 ila mwaka jana kuna mtu amefika milioni 9 anakitaka. Na hapo hata lami bado haijawekwa..
Nimemkatalia sababu lengo langu ni bar ya kisasa. Bado nasubiri lami.