Ni kwasababu alikuwa na Akili sana, siyo Mnafiki, Msomaji mzuri, hakuogopa Kukosolewa, alijiamini na hakuwa Muongo kama wengine

Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Mimi binafsi bado sijaona Rais bora aliyewahi kutokea tangu uhuru mpaka leo, bado hajatokea.

Wote waliopita kuanzia Nyerere hadi huyu mama yenu hakuna ninaye weza kumpatia sifa zinazoshahili. Wote ni bure kabisa.
 
Mauaji ya wapemba waliokimbilia shimoni Mombasa ndio maana hata kwenye kitabu chake amekiri,huyo kafa na damu za watu sana.
 
Hizi asilimia umepima kwa vigezo vipi na term and conditions vimezingatiwa mkuu?😂

Ila huyo mwamba uliyempa 25% alitafuna nchi na washkaji zake wallah
Na huyo wa 25% ndiyo simkubali kabisa.
 
Ninashauri wahi Mirembe ukaanze Tiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…