stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
KATAA NDOA sio suluhisho na kuzalisha mwanamke na kumkimbia sio suluhisho pia. Katika maamuzi yote utakayotaka kufanya usikubali kuona mtoto wako anapewa malezi na baba mwingine, kama unampenda mtoto wako kwel na unataka apitie katika mema ya maisha basi hakikisha uyo mtoto unamlea wewe na mama Yake, kwa lugha nyepesi matatizo ya ndoa yakitokea utajua utafanya nn lakini mtaachana mtoto akishakua mkubwa na anajitegemea