Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Kwani wewe umepima kipindi icho miaka ilikiwa inahesabiwaje??

Go back to school maana ninyi mnaonekana hamjui anno domino na before Christ , Fanya utafiti kabla hujaongea chochote
Hayo yote si uliambiwa njoo na kile ulifanyia utafiti kaka sio story za vitabu ambazo ata mapango yaa andeni yameizidi bibilia kwa ushaidi wa michoro yake ya zamani zile
 
Hahahahahahaaaaaa!!! nimebaki kucheka tyuu!!!! Kweli nimeamini Bible imewapoteza wengi.
Hail SATAN & LUCIFER THE KING
( full freedom to ask & think)
Lucifer = the morning star.
 
Hayo yote si uliambiwa njoo na kile ulifanyia utafiti kaka sio story za vitabu ambazo ata mapango yaa andeni yameizidi bibilia kwa ushaidi wa michoro yake ya zamani zile

Baadae ngoja nifanye kazi nitafute pesa we endelea kutafuta ushahidi mapamgoni
 
mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini biblia inasema adam na hawa waliishi miaka 900.
je hao walio andika adam na hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
usiseme ni uongo wakati wewe huna ukweli jiangalie
 
Swali la kitoto, ungeuliza labda je Adam na Hawa ndo binadamu wa kwanza kuishi kutokana na biblia au je biblia iliruhusu watoto kumlala mama yao kama Adam na Hawa ni binadamu wa kwanza??
Hao waliondika adamu na hawa waliishi miaka 900 na ukawamini hao ndio walikufanya wewe mtoto.
 
Siku 365 over
Kabla hujaenda mbali,

Wapi kwenye biblia imeandikwa mwaka mmoja una siku 365?

Je kalenda unayoitumia (ya siku 365 au 366) imetengenezwa na nani? Na Kwa ajili ya nani?
 
Baadae ngoja nifanye kazi nitafute pesa we endelea kutafuta ushahidi mapamgoni
1473052091554.jpg
sisi bado tunanyanyaswa na traffic kazana ila penda kujifunza zaidi usikurupuke
 
Nafunga nianze kuichambua. Vipimo vilivyotumika ni ufunuo ambao Mungu alimfunulia mwandishi

Kamfunulia lini?....tutaamini vipi beyond doubt "ndoto" zake zilitoka kwa mungu na sio hallucinations zake tu?

Ni ngumu kuprove..na kwanini afunulie watu wachache tu wanaopatikana kwenye kakipande kadogo sana ka jangwa kanapatikana hapo middle east?kwanini?je mungu ni mbaguzi?

Waandishi ni self appointed nassistic human beings who compiled mountains of lies to control other human beings...full of nonsense
 
Kwani wewe umepima kipindi icho miaka ilikiwa inahesabiwaje??

Go back to school maana ninyi mnaonekana hamjui anno domino na before Christ , Fanya utafiti kabla hujaongea chochote
Inamaana wakati huyo jamaa anaandika biblia miaka ilikuwa inahesabiwa kama sasa hivi.
 
Uongo mwingine huu..

MWANZO 6:3

BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa MIAKA MIA NA ISHIRINI.

MWANZO 7:6

Naye Nuhu alikuwa mtu wa MIAKA MIA SITA hapo hiyo gharika ya maji ilipokuwa juu ya nchi.

* * * * * * * *

huyu mwandishi inaelekea alikua na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu.. alishaandika mungu amelimit umri wa binadamu uwe miaka ishirini tu.. baadae anakwambia Nuhu aliishi miaka mia sita..

Hatari sana.
Mkuu upo vizuri, ila mashabiki wa dini hawajaelewa. Watu wamelewa kwa maneno na matamko ya kuambiwa.
 
Wewe ni lipumbavu la kutupwa. Tena utakufa kifo cha fedheha mzog wa mbwa wewe usiye na ufahamu. Pumbavu kwelikwlei. Ungelikuwa akili japo kidogo usingeongea upumbavu ambao hata tu elimu ya darasani inatoa jibu. Pumbavu kafie mbali zoga la mijibwa!

tena achana na mimi siji kwenye upumbavu wako wa kishetani hapa. Elti walitumia kipimo gani!. Nenda hata shule ya kata uapte basi ili hata kama ni argument uargue scientifically japo kidogo. Jitu lilipelekwa shule likawa jinga darasani, likakimbia umande, Mungu halimjui linaishi kwa sababu linaamuka ili lile, halafu leo linaleta ma.vi ya kichwani kwake hapa. Wewe unafikirakwa kutumia m.a.vi. Wweni zaidiya mzoga wanguruwe.
Dah! mtu wa Mungu mbona mkali sana?jitahidi kupunguza hasira na jazba unapojadili mambo haya Mama.
 
Tena ninaamuru kwa jina la Yesu hiyo smartphone iwe ya mwisho kuimiliki
Unaemkufuru Roho Mtakatifu
Watu wote tuseme Amina.
[emoji53] naona vitisho na kuhukumu kumeshaanza.
Mbona sasa unapingana na Mungu unayemsoma kwenye bible. Maana yeye kasema usihukumu ila yeye pekee. [emoji23]kweli wafia dini mnasoma kitu msichokielewa..
Na ndo mana ukianbiwa uthibitishe uwepo wa Mungu mnaanza kuruka ruka na kuishia kulaani na kutishia.

Nachelea kusema wewe unamwabudu Mungu usiyemjua
 
Wewe ni lipumbavu la kutupwa. Tena utakufa kifo cha fedheha mzog wa mbwa wewe usiye na ufahamu. Pumbavu kwelikwlei. Ungelikuwa akili japo kidogo usingeongea upumbavu ambao hata tu elimu ya darasani inatoa jibu. Pumbavu kafie mbali zoga la mijibwa!

tena achana na mimi siji kwenye upumbavu wako wa kishetani hapa. Elti walitumia kipimo gani!. Nenda hata shule ya kata uapte basi ili hata kama ni argument uargue scientifically japo kidogo. Jitu lilipelekwa shule likawa jinga darasani, likakimbia umande, Mungu halimjui linaishi kwa sababu linaamuka ili lile, halafu leo linaleta ma.vi ya kichwani kwake hapa. Wewe unafikirakwa kutumia m.a.vi. Wweni zaidiya mzoga wanguruwe.
[emoji2] yani kwa matusi haya uliyotukana hapa.
Kwenye hyo jehanamu yenu ya kufikiria unatatakiwa uchomwe moto
 
Back
Top Bottom