Ni kweli Dereva alimuacha Nape akiwa Ukumbini Mlimani City baada ya kupata taarifa bosi wake ametumbuliwa?

Nappe aliachwa , akaita bolt lakini madereva walikuwa wana-cancel maana walikuwa na wasiwasi wa kupotea. Naskia alikuja kupata bajaji ya Uber baadae sana.
 
Ni kweli kabisaaaa..
 
Ndiyo mi nilikuwepo, tulishuhudia Nape akitafuta uber na kuondoka. Nitaweka picha na video soon
 
Bila picha picha huwa hainogi.

Haya ya kitafuta nyama chini ya bakuli la mtoriπŸ™ŒπŸΎπŸ˜Œ

NB. CHADEMA wakiiona V8(kama picha ipo) iliyomwacha Nape....watasema dereva alitumia mafuta ya walipa kodi kwa makosa.

Sijui Mdude angesemaje??
...saba mara sabini?
 
Alipata wapi plate number za STK???
 
Sizan kam itifak inaelekez hvyo number ibadlishwe
Waziri akirudishwa nyumbani dereva anavyorudi peke yake anabadili plate number

General akifikishwa nyumbani dereva anaondoa zile 🌟🌟

Jaji hivyo hivyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Madereva wa serikali wanayaweza hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…