Aisee, kazi ipoAcha uongo. Ni kuanzia lini waziri anatembea na laptop au mkoba binafsi wenye document za ofisi? Mi mtumishi wa Serikali nauza madafu. Katika kifanyiwa vetting huruhusiwi kutembea na vitu/document vya ofisi kama vitu vyako binafsi. Inatakiwa akamatwe mama alitembea na nyarama za serikali kwenye mkoba binafsi.
Muajiriwa mkuuπDereva ni muajiriwa mkuu. Hata aje nani na amuweke pembeni, yeye ataendesha gari au wizara nyingine tu mkuu.
Ni sahihi hata Kikwete aluwahi ongea hilo kuwa akiwa waziri kipindi cha Mwinyi walienda ikulu Raisi Akavunja baraza la mawaziriSiwezi kuamini kama hili ni la kweli
Hizo ni enzi hizo mzee enzi hizi sidhaniNi sahihi hata Kikwete aluwahi ongea hilo kuwa akiwa waziri kipindi cha Mwinyi walienda ikulu Raisi Akavunja baraza la mawaziri
Walirudi wengine kwao kwa miguu
Kuwa ukivuliwa uwaziri privilege zote za uwaziri zinakatika muda huo huo ikiwemo gari na dereva
Sababu ile ni gari ya waziri na dereva ni dereva wa waziri sasa utapandaje hiyo gari wakati wewe sio waziri?
Dereva alifanya sahihi kabisa
Ulishaona hata siku Raisi mpya akiapishwa uwanja wa Taifa kinachotokea kwa Raisi anayeondoka madarakani?Hizo ni enzi hizo mzee enzi hizi sidhani
Kama ukitumbuliwa upo Katavi kiserikali inamaana uachwe ujitafutie namna ya kurudi? Siku moja hizo drama zitafanya serikali ishtakiwe na kulipa pesa nyingi.Ni sahihi hata Kikwete aluwahi ongea hilo kuwa akiwa waziri kipindi cha Mwinyi walienda ikulu Raisi Akavunja baraza la mawaziri
Walirudi wengine kwao kwa miguu
Kuwa ukivuliwa uwaziri privilege zote za uwaziri zinakatika muda huo huo ikiwemo gari na dereva
Sababu ile ni gari ya waziri na dereva ni dereva wa waziri sasa utapandaje hiyo gari wakati wewe sio waziri?
Dereva alifanya sahihi kabisa
Amrudishe nani kwao ? Yatamrudisha mafao atakayolipwa .Akilipwa na hela ya usafiri yeye ndie atafute Lori la kumrudisha kwaoKuna yule mkuu wa wilaya Korogwe walishindwa hata kumrudisha kwao. Huo ni ushamba usiyo na maana.
Priveleges za uwaziri zinaisha akikabidhi ofisi. Au nayo haruhusiwi kuingia sababu ni ofisi ya waziri?Amrudishe nani kwao ? Yatamrudisha mafao atakayolipwa .Akilipwa na hela ya usafiri yeye ndie atafute Lori la kumrudisha kwao
Na je aliendelea kukaa meza kuu kama Mgeni Rasmi wa shughuli ile ya E Fm??Dereva anabeba Mamlaka/cheo/nafasi habebi mtu. Hiki wengi hawajui na huwa wanawalaumu madereva wanapotimiza wajibu wao. Kumchukua kuongozi aliyekwisha tumbuliwa atafanya kimahusiano na sio kiutaratibu.
Sheria na miongozo ya madereva wa viongozi ni kubeba mamlaka/nafasi na sio mtu. Unapotengeliwa, dereva anatakiwa amfuate kiongozi mpya au akiwa hana mawasiliano naye anatakiwa aende ofisi mama (Wizarani,Mkoani, Wilayani n.k)
Mie sikubaliani na hili, na naona kama raisi akifanya hivi anakosa busara na ustaarabu.Ni sahihi hata Kikwete aluwahi ongea hilo kuwa akiwa waziri kipindi cha Mwinyi walienda ikulu Raisi Akavunja baraza la mawaziri
Walirudi wengine kwao kwa miguu
Kuwa ukivuliwa uwaziri privilege zote za uwaziri zinakatika muda huo huo ikiwemo gari na dereva
Sababu ile ni gari ya waziri na dereva ni dereva wa waziri sasa utapandaje hiyo gari wakati wewe sio waziri?
Dereva alifanya sahihi kabisa
With immediate effect unajua maana yakeMie sikubaliani na hili, na naona kama raisi akifanya hivi anakosa busara na ustaarabu.
Kama ambavyo unapaswa kumwambia kimbele mtu kabla ya kutangaza kumteua kuwa waziri, unapaswa kumtaarifu mtu kimbele kawma unamtengua mtu uwaziri. Kinyume na hilo ni kukosa ustaarabu, hata kama wewe ni raisi.
Kuna shida gani kumwambia Nape, hata kutumia maofisa wa Ikulu, kwamba Raisi atatengua uwaziri wako, angalau hata masaa mawili kabla ya kutangaza rasmi? Wanaogopa mtu atatangaza kujiuzuru ili isionekane ametenguliwa? Kuteua au kutengua hakupaswi kuwa jambo la kushitukizana.
Haya mambo ya kukosa ustaarabu ndio maana wanaishia kuteua watu waliokufa
Ataiba gari? In fact inaweza pia kuwa na ubaya kufanya hivyo. Kuna vitu anaweza asirudisheWith immediate effect unajua maana yake
Aweza enda ofisini akaharibu mtu documents na ushahidi nk ukimpa hata saa moja
Saa mbili hata moja ni nyingi mno
Hakuhitaji notice vyeo vikubwa .Unampiga with immediate effect na vitasa mara ingine hadi ofisini hubadikishwa na yeye kupigwa stop kuingia kwenye ofisi asije hujumu chochote
Sifahamu mkuu.Na je aliendelea kukaa meza kuu kama Mgeni Rasmi wa shughuli ile ya E Fm??
Hata kagame , kaunga mkono hojaMadaraka ni matamu kuliko Fedha kama unabisha muulize Trump au Ramaphosa ππ
hilo ni jambo la kawaida japo linaweza kua geni kwa wengi πHizi taarifa zimezagaa huko mtandaoni X na kwa sababu Nape kafunga akaunti yake imeshindikana kumuuliza
Inadaiwa mara Baada ya kupata taarifa kuwa Waziri Nape ametumbuliwa Dereva wa Serikali anayemwendesha alichomoa plate number za Waziri na kuweka STK kisha akaondoa gari kwa kasi na kumuacha Nape ukumbini.
Nape alikuwa kwenye sikukuu ya kutoa Tuzo iliyoandaliwa na E FM
Je, ni Kweli?
Kwako Maranja wa Chadema X
Pia soma > Uteuzi na Utenguzi: Nape out, Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hivi hii habari ya Mwigulu kuachwa Kigoma ilikuwa ya kweli, mi nilidhan watu wanazusha tuWewe ndio hujui. Dereva hapakizi mtu. Dereva anapakiza cheo/nafasi. Refer kwa Mwigulu wakati akiwa Waziri wa mambo ya ndani wakati wa JPM na alipoachwa wakati akiwa ziarani Kigoma.
Mwache ajifanye kasahau sasa. Aliachwa huyo jamaa.Hivi hii habari ya Mwigulu kuachwa Kigoma ilikuwa ya kweli, mi nilidhan watu wanazusha tu