Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Sawa unyenyekevu hauna Maana ila walikwepo wengi tu wenye vipaji ila unyenyekevu sifuri naleo hawali matunda ya kazi zao.

Mfano Baraka anakipaji kumshinda harmo ila harmo alibebwa na ukubwa wa kampuni iliyomtoa, lakini Leo baraka anatapatapa tu
Kumbuka baraka ni kisirani kwa kila mtu nadhani hata mameneja wanafeli kufanya nae kazi kutokana na jinsi alivyo
Lakini ukiwa na kipaji vizuri ni uhakika tofauti na zamani leo hii soko la mziki liko huru hatuhitaji kunyenyekea mtu ili kusikika
Harmo hana tabia hizo pamoja na kuhama wasafi lakini bado alionyesha kumkubali boss wake lakini boss alitaka kuleta zile za kutaka kumpoteza kwenye gemu kwa sababu tu ameondoka wasafi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ningekua Mond ningekua nshamtia mabanzi huyu dogo

Hakunaga kiasi kinatosha kumlipa mtu aliyekutoa kwenye kudharaulika akakupa heshima asee

Huyu dogo ni wa kutia mabanzi tu.
Diamond wenu hana ubavu hata wa kumpigia simu Mmakonde, sembuse kumtia mabanzi.
Siku akijaribu tu , hamo anamharibu reception yote.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Twende mbele turudi nyuma konde boy kajistukia aisee.

Mi naona hakukua na haja ya povu kubwa namna hiyo ambalo kiukweli linamshusha yeye na kuonekana ana chuki kweli kweli tofauti na mwenzie ambae hajamsema moja kwa moja. Na bado hatujui mondi alimlenga nani hasa ila konde boy kaonesha wazi wazi kua anamsema boss wake wa zamank.
Inasikitisha sana
 
Ok sawa je jinsi ya kutumia hiyo protein powder na unga ni sawa!?
Wote Wana sniff!??
Protein powder ni supplements mara nyingi zinakuwa ni Whey Protein...wanaotumia wanaziweka kwenye vinywaji kama maziwa au maji wakienda Gym ili kujenga mwili, mbadala wake ni kupiga menu ya kufa mtu, ndio wale unakuta mtu anakula kuku mzima portion 2, mayai 10 etc. Ili kupata kiwango cha protein cha kutosha kwa siku, hiyo protein huwa haina kilevi chochote...nyingine huwa zipo kwenye formula za vyakula vya watoto kama lactogen
images - 2021-11-16T210144.864.jpeg
 
diamond alijiona boss na kujisahau Sasa hivi madogo wengi wanamkimbiza kimziki ila siyo hela .
Diamond kapitwaje kimziki ikiwa mpaka Leo ndio msanii anayekuwa na show nyingi kuliko msanii yoyote, anayeongoza kwa mauzo ya kazi zake, lakini pia ndio msanii ngoma zake zenye idadi kubwa ya viewers kuliko msanii yoyote apart ya hivyo ndio msanii mwenye endorsement nyingi kuliko msanii yoyote hiyo hoja unayosema kapitwa mziki na madogo unaitolea wapi?
 
Back
Top Bottom