nduza
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,595
- 2,503
Suala la pesa ni suala la muda tudiamond alijiona boss na kujisahau Sasa hivi madogo wengi wanamkimbiza kimziki ila siyo hela .
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suala la pesa ni suala la muda tudiamond alijiona boss na kujisahau Sasa hivi madogo wengi wanamkimbiza kimziki ila siyo hela .
Kumbuka baraka ni kisirani kwa kila mtu nadhani hata mameneja wanafeli kufanya nae kazi kutokana na jinsi alivyoSawa unyenyekevu hauna Maana ila walikwepo wengi tu wenye vipaji ila unyenyekevu sifuri naleo hawali matunda ya kazi zao.
Mfano Baraka anakipaji kumshinda harmo ila harmo alibebwa na ukubwa wa kampuni iliyomtoa, lakini Leo baraka anatapatapa tu
Sasa unamuona Diamond ana ubavu wa kumchapa Hamo hata kofi moja ?Dudu Baya kwa kutotaka kuchambana alimkamata Mr. Nice akamtia mangumi na mipasho ikaishia siku hiyo
Hivi hauoni nyimbo za Harmonize kila siku kutupia madogo Kwa Boss wake wa zamaniTeam Diamond baba yenu ndiyo aliyelianzisha
Wanamuoga mfalme mpya wa bongo flavaMmakonde ndo maana wasanii wenzake wameanza kumkwepa
Mmakonde ni moto wa kukaa nao mbaliLakini mtoto wa madale sidhani Kama kaongea vibaya.
Ninachoona mmakonde kajishtukia tu.
Si atapata kesi ya mauajiHarmonize atampiga ngumi tu diamond
Diamond wenu hana ubavu hata wa kumpigia simu Mmakonde, sembuse kumtia mabanzi.Ningekua Mond ningekua nshamtia mabanzi huyu dogo
Hakunaga kiasi kinatosha kumlipa mtu aliyekutoa kwenye kudharaulika akakupa heshima asee
Huyu dogo ni wa kutia mabanzi tu.
Sawa zarina HassanHivi hauoni nyimbo za Harmonize kila siku kutupia madogo Kwa Boss wake wa zamani
Unaliwa tuAcha utoto dogo, nenda kampikie mumeo
Marekani palipo na wasanii matajiri wanapigana vijembe hata ikibidi wanapigana risasi, sembuse huko Tanzania kwa waganga njaaKwa style hizi za mabifu na mafumbo ndio mziki wa Bongo utaendelea?
Ina shangaza sana!
Inasikitisha sanaTwende mbele turudi nyuma konde boy kajistukia aisee.
Mi naona hakukua na haja ya povu kubwa namna hiyo ambalo kiukweli linamshusha yeye na kuonekana ana chuki kweli kweli tofauti na mwenzie ambae hajamsema moja kwa moja. Na bado hatujui mondi alimlenga nani hasa ila konde boy kaonesha wazi wazi kua anamsema boss wake wa zamank.
Wewee fala sasa kama mnavuta vuta mibange hovyo msiambiwe ?Mchokozi ni huyo domokaya, ndo alianza kumnanga mwenzake na muhadarati,
Wafuasi wa Mange wanatakiwa kuwa executed maana ni hasara kwa taifa.Mange anaongea kishabiki apo maana anamchukia Diamond, lkn ata hivyo mange reasoning yake n ndogo pia anakurupuka tu na mambo.
Protein powder ni supplements mara nyingi zinakuwa ni Whey Protein...wanaotumia wanaziweka kwenye vinywaji kama maziwa au maji wakienda Gym ili kujenga mwili, mbadala wake ni kupiga menu ya kufa mtu, ndio wale unakuta mtu anakula kuku mzima portion 2, mayai 10 etc. Ili kupata kiwango cha protein cha kutosha kwa siku, hiyo protein huwa haina kilevi chochote...nyingine huwa zipo kwenye formula za vyakula vya watoto kama lactogenOk sawa je jinsi ya kutumia hiyo protein powder na unga ni sawa!?
Wote Wana sniff!??
Kwani bangi ina tatizo gani?Wewee fala sasa kama mnavuta vuta mibange hovyo msiambiwe ?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Diamond kapitwaje kimziki ikiwa mpaka Leo ndio msanii anayekuwa na show nyingi kuliko msanii yoyote, anayeongoza kwa mauzo ya kazi zake, lakini pia ndio msanii ngoma zake zenye idadi kubwa ya viewers kuliko msanii yoyote apart ya hivyo ndio msanii mwenye endorsement nyingi kuliko msanii yoyote hiyo hoja unayosema kapitwa mziki na madogo unaitolea wapi?diamond alijiona boss na kujisahau Sasa hivi madogo wengi wanamkimbiza kimziki ila siyo hela .