Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Naomba kuuliza hawa wasanii wetu haya tunayoyaongeleaga humu yana uhalisia ama ni dhahani.

Nilipigwa na butwaa kuja kuona harmo ile gar ya aud 4 alipost na kusema yake, wakat ameachwa na sarah tukaona gari linaombwa.

Nikawaza msanii anaejiita mkubwa anashindwa kumiliki Aud 4 ya milion 20,

Basi niishie kusema tu hata hizo milion 600 usikute ni maneno tu ya media, lakini naamin wasanii wetu wanaishi maisha ya kipato cha chini sana.

[emoji3] ebitoke aliwah kusema nipost gar langu, kisha akala kona! Nikajua huyu itakuwa gar hana ama analo la kawaida tofaut na sifa anazotaka jamii imchukulie
Itoshe tu kukuambia mziki una hela, na kunawasanii Ni matajili kupitia mziki.
 
Still ni tetesi. Ila kila jambo huanza kama tetesi
Mwamba anafanya show kwa masaa mengi kuliko msanii yoyote Tena mfululizo mpaka kuna wakati Uongozi wa Wasafi ukataka umtafutie daktari leo useme anatumia ngada me nakuelewaje alafu msemaji wa hiyo taarifa ni Mange ambaye Inajulikana wazi ana chiki binafsi na Diamond
 
reymage kwani umepitia huku, usisahau ww ndio dishi langu, habari zoote za mjini nasubiri kupata kwako, king'amuzi changu nimekitegesha kwa wa dishi lako [emoji23]
 
Back
Top Bottom