Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Mhhh yaani usniff kidogo upate nguvu ya ajabu tunadanganyana. Unga kadri unavyo endelea kuutumia afya inazidi kudhoofika na kama ingekuwa hivyo kama usemavyo Whitney sauti yake ukali wake ingekuwa kama honi ya treni.

Husifanya masihala na unga,unga unadhoofisha afya na ufanisi wa kazi lazima ushuke.
Mhhh yaani usniff kidogo upate nguvu ya ajabu tunadanganyana. Unga kadri unavyo endelea kuutumia afya inazidi kudhoofika na kama ingekuwa hivyo kama usemavyo Whitney sauti yake ukali wake ingekuwa kama honi ya treni.

Husifanya masihala na unga,unga unadhoofisha afya na ufanisi wa kazi lazima ushuke.
Mkuu uwe unaelewa,kila mtu anajua utumiaji wa unga ni mbaya tunayo mifano ila nilichoeleza kipo sahihi.Cocaine ni stimulants ukitumia inakupa mzuka huchoki lakini ukiiendekeza ilawa ndio ulevi wako lazima ile kwako.
 
Hivi unaijua 1.5B??? Achana na mapicha picha ya instagram.

Ajenge kwanza Mansion ndiyo nitaamini hayo magari ananunua kwa pesa hizo na ni ya kwake na wala siyo ya kiki.
Siwanasema Simba ana utajiri wa ajabu, anashindwa vipi nunua asee...
 
Hivi unaijua 1.5B??? Achana na mapicha picha ya instagram.

Ajenge kwanza Mansion ndiyo nitaamini hayo magari ananunua kwa pesa hizo na ni ya kwake na wala siyo ya kiki.
Ila hawa wasanii nahisigi muda mwngne wanaweza kukupa stress kumbe mnafanana tu uwezo au wamekuzidi padogo au umewazidi, ila tofauti yeye ni maarufu basi.
 
Mkuu uwe unaelewa,kila mtu anajua utumiaji wa unga ni mbaya tunayo mifano ila nilichoeleza kipo sahihi.Cocaine ni stimulants ukitumia inakupa mzuka huchoki lakini ukiiendekeza ilawa ndio ulevi wako lazima ile kwako.
Kwa m
Kwa poda haijalishi ni ya aina gani, ukianza kuyatumia ufanisi wa kile ukifanyacho lazima upungue
 
Wanaotumia pamoja naye wanasema kisha wewe unatia mashaka?
 
Harmonize kipindi anakaribia kuondoka WCB alidhani yeye ndiye anayeenda kuwa namba moja yani atamfunika bossi wake, sasa baada ya kutoka ndio akakutana na uhalisia ulivyo. Uthibitisho wa hili ni namna ya utoaji wa nyimbo pasipo na mpangilio unaoeleweka na namna anavyosign wasanii hovyo hovyo inaonyesha dhahiri ni frustration ya kutaka kumpindua diamond.

Kwenye moja ya interviews alizofanya Salam sk aliwahi kuongelea kuhusu swala la harmonize kuvuta bangi hadharani baada ya kujaribu kumkanya majibu yake ni kama ifuatavyo "kwani sitoi hit" hii inaonyesha ni namna gani dogo anajisahau.

Swala la kulipa m600 bila shaka lipo kimkataba zaidi, WCB ni kampuni hivyo mambo hufanyika ki- professional hivyo bila shaka alitakiwa kulipa kiasi hicho cha fedha kama endapo angehitaji kuvunja mkataba wake na label hiyo, hawezi mtu akakutoa from nothing akainvest muda na fedha kibao alafu akuache tu ufaidike na vijembe umchimbe.

Harmonize baada ya kukutana na uhalisia wa namna game ilivyo ngumu akaona bila kutumia kiki ya bosi wake wa zamani hatoboi na ndio maana toka day one anatoa ngoma yake ya UNO mpaka kufikia album yake ya juzi bado anamuandama tu.

Harmonize anatumia nguvu nyingi sana kutaka kumshusha diamond akiamini ndiye anayemkwamisha yeye kuwa namba 1 ndiyo maana haoni shida kumkashifu kwa kila namna anayoona itamshusha, ishu ya kutumia madawa ya kulevya sio ndogo hata kidogo na ubaya ni kwamba mashabiki ni kama watoto wadogo ishu kama hizi wanaweza kukukataa mazima na ukapoteza bila kusahau namna alivyotaka kumpoteza rayvanny kwa ishu kuwa anatembea na mwanafunz (Paula) .

Mbaya zaidi anawasahau vijana wadogo kama akina rayvanny ambao na wenyewe wanamkimbiza mostly ni record aliyoweka vannyboy juzi ya kuwa msanii wa kwanza kutokea Africa kuperform kwenye MTVEmas hii inaonekana ilimchoma sana harmonize na haswa ule msumali wa moto aliyo ushindilia diamond ndo kabisa akaamua aje ateme nyong'o insta.

Kama mnafuatilia mtakua mliona juzi alipost akijinasibu kuwa nobody sounds better than him bila shaka hii yote ni frustration ya album yake aliyoachia recently kutofanya vizuri.

Mwisho wa yote anayofanya Harmonize ni kutaka sikio lizidi kichwa kuna namna ambavyo mtu anakusaidia kiasi kwamba hata umlipe kiasi gani bado huwezi kumlipa fadhila, sometimes sio swala la pesa tu bali ni ule moyo tu ambao anakuwa nao mtu. 2015 diamond tayari alikua msanii mkubwa sana, angeweza kumvimbia harmonize akaendelea na maisha yake kwani lazima ? .. lakini akaona hapana huyu ni kijana mwenzangu anatafuta sio mbaya kumshika mkono.

Kuna mtakao sema " kwani si alishamlipa m600? Au kwani yeye harmonize si ana kipaji ? ..kama alivyosema member mmoja hapo juu" kipaji pekee hakitoshi kutokana na ugumu wa mziki wa bongo unahitaji watu kama wakina diamond, alikiba ambao wana crowd kubwa wakushike mkono, wangapi wana vipaji na wanasota kitaa ?? ..

Mwisho wa yote haya mambo hatuyajui kiundani ila kwa vyovyote harmonize hakupaswa hata kidogo kumjibu au kubishana na diamond hadharani hata kama diamond ndiyo mwenye matatizo, sio dhambi kuhisi unaweza kumzidi bossi wako ila mziki ndio ulipaswa uongee alafu sisi mashabiki tungesema who is who na sio kumpiga vijembe kila uchwao ..

Najaribu kuvaa viatu vya diamond lakini nashindwa, ni maumivu kiasi gani mtu ambaye umemsaidia na kumuheshimisha ana kujibu dharau na kwenda mbali zaidi kutaka kukupoteza, kwakweli inavunja moyo. Leo hii harmonize ni msanii mkubwa sana east Africa, same applies kwa rayvanny lakini wote ni products of diamond platnumz .. namna hii diamond atakuwa na moyo kweli wa kuendelea kuibua vipaji vingine ?? ..

Mwisho kabisa sina ushabiki wa kipumbavu wa mtu yeyote, sijui team kiba, team wcb, team konde .. mimi ni shabiki wa mziki mzuri namkubali alikiba, diamond platnumz, kondeboy na wengine wote wanaofanya mziki mzuri .. nime analyze kutokana na ninayo yaona personally ..
 
Haina
Mkuu protein powder ni vyakula mbali mbali vyenye protein vimesagwa pamoja na kuwa unga. Watu wengi wanaofanya mazoezì ya kujenga mwili hutumia kwani ni rahisi kuliko kununua vyakula vyenyewe na kuvipika.

Hiyo NGADA ni madawa ya kulevya kama sikosei ambayo hata mimi sijawahi kuyaona japo nasikia ukitumia unalewa. Hiyo powder nimeiona sana na wanangu waliokuwa wakitaka kujaza vifua na miili yao kirahisi wameitumia sana.
Haina madhara? Nataka niwanunulie wanangu maana hawataki kula
 
Mbon bado sana,hawa jamaa kitaumana sana na mbaya zaidi mmakonde sio kama Ali Kiba...hana dogo wala kubwa yeye jino kwa jino kwa lolote na vyovyote vile[emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom