Ni kweli hali ya maisha imekuwa ngumu, na pia ni kweli hizi tozo hazikubaliki, sasa wananchi tuseme kwa vitendo imetosha

Ni kweli hali ya maisha imekuwa ngumu, na pia ni kweli hizi tozo hazikubaliki, sasa wananchi tuseme kwa vitendo imetosha

Wacha machungu ya tozo yaje kuleta practical lesson labda tutaelewa somo vizuri zaidi, sababu zile theory za kina Lissu na Mbowe naona tumeshindwa kabisa kuzielewa.
Lissu anakula kuku ulaya, Mbowe keshalambishwa asali bila sisi wananchi kufanya maamuzi tutaendelea kudidimizwa.
Kungekuwa na wasanii wanajieldwa ningewaandikia script ya kuwaumbua Hawa wapuuzi
 
Kwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi.

Kwakuwa ugumu huu wa maisha hauchagui itikadi za vyama au wasiokuwa na vyama, kupitia thread hii tukusanye maoni ya wananchi jinsi ya kuratibu na kufanya maandamano makubwa nchi nzima yasiyo na kikomo kupinga maisha magumu na hizi tozo za kipuuzi.

Ni muda mufafaka Sasa Kwa Watanzania tuungane tuweke vyama pembeni, dunia nzima maandamano yenye mafanikio ni ya kiraia siyo ya vyama vya Siasa, nguvu mnayoitumia kwenye Simba day na Yanga day tukiunganisha pamoja kukataa kuswagwa kama Ng'ombe kwenye nchi yetu, Mwigulu ataachia mwenyewe ofisi ya umma na mama atasikia kilio chetu.

Uamuzi ni wetu tuendelee kuwekeza kwenye ujinga na mambo yasiyokuwa na Tina kama let's mzungu au tuchukuwe hatua Sasa.

Kama hatuwezi kuchukuwa hatua Sasa tukae kimya jumla tuache ulalamishi tuache serikali itekeleze ilani ili ituletee maendeleo na watu wrote tukae kimya.

Sasa nakaribisha maoni na ushauri namna ya kuratibu maandamano nchi nzima kupinga maisha magumu, hili linawezekana timiza wajibu wako, hili vuguvugu likipamba moto na wakaona tupo serious watarekebisha tatizo kabla ya maandamano makubwa nchi nzima.

Haya ni yetu. Bila kuyakabili kwa vitendo hayawezi kuondoka yenyewe:

Kama nchi tuko vibaya, nani mwenye kubeba dhima ya ukombozi wetu?

Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu
 
Ndugu zangu hii inayojiita serikali ya awamu ya 6 inaonyesha kwa uwazi kuwabeba wanyonyaji, wala rushwa na mafisadi dhidi ya watu wa tabaka la kati na chini.

Na hata kilio cha wananchi juu ya ugumu wa maisha, haswa kutokana na kupanda kwa bei za mafuta, bidhaa zote na sasa mitozo ambayo ni ukwapuaji wa wazi wa pesa za watanzania bado tukiwahoji mawaziri wanatuambia kuwa kama hatutaki tozo tuhamie Burundi.

Tukihamia Burundi watapata wapi tozo na kodi kufadhiri maisha yao ya kifahari huku hawalipi kodi?

Hicho ni kiburi cha shibe na dharau kwa watanzania huku Rais Samia akionyesha wazi hana control ya Serikali. Kila mtu anasema anachotaka na Rais inaonekana hana uwezo wa kuwaondoq maana hata hivyo sio yeye amewaweka.

Sasa ili hawa viongozi watambue nguvu na mamlaka ya wananchi basi tugomee hili zoezi la sensa ili kuwashinikiza hawa wezi kuondoa tozo katika miamala.
 
Kwahiyo tujinyonge kama Mkwawa?
Wewe ni mjinga kabisa, Mkwawa alishinda vita dhidi ya Wajerumani mpaka Wajerumani wakakimbia na kurudi kwao, safari ya Pili Wajerumani ndio wakaja na Majeshi ya mamluki akiwemo baba yake mzazi Sykes Kwa kupitia Kwa Chifu wa Wasangu ambaye alimsaliti Mkwawa na kutowa ramani ya vita.

Wewe ni mnyalukolo wa wapi mjinga kabisa usiyejuwa historia iliyotukuka ya ushujaa wa Mkwawa?
 
Kwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi...

Utaratibu mzuri ni kuwa,

Ww na family yako muanze kuandamana na mabango pale nje ya get la ikulu

Then watu wengine watafata
 
tuliza kalio bana.jiwe muuaji si keshakufa kaa ukiinjoy maisha.
 
Aiseeh wanarengeta huko BENKI

Haikubaliki kama ugumu wa maisha kila mtu abebe ....Ifyekwe mishahara huko Bungeni

Ng"ombe maziwa ya kijiko bado ANAKAMULIWA...aiseeh
 
Utaratibu mzuri ni kuwa,

Ww na family yako muanze kuandamana na mabango pale nje ya get la ikulu

Then watu wengine watafata
Hata Makaburu walikuwa na vibaraka wao weusi, wewe si wa kwanza kuhujumu harakati za watu wanaojitambuwa.

Hata Chifu Mkwawa baada ya kulishinda Jeshi la Wajerumani, walikimbia na kwenda kukodi askari mamluki weusi Mozambique kuja kupigana na Mkwawa, wasaliti hamjaanza Leo.
 
Back
Top Bottom