johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe ni nani?Mwigulu anaamini kabisa kuwa sisi ni Mifugo.
Dharau hiyo, kwasababu mnamabunduki na Mizinga.Wewe ni nani?
Hahaha.......!Dharau hiyo kwasababu mnamabunduki na Mizinga.
Nyumbu mwenyewe!
Hivi akili zenu huwa mnafungia kabatini? Ikiongelewa demokrasia hamtaki kufananishwa na Kenya na IPO East Africa, Ila likija swala Bei ndio mnataka kujifananisha, huwa mnatumia akili zipi?
Ndio maana nikakwambia usiwe mshabiki wa mwanasiasa yoyote Cha msingi uunga mkono pale ambapo mwanasiasa anapokuwa sahihi tuSasa mbona unahama toka kwenye mjadala uliopo?
Kama tukianza kutazamana kwa jicho hilo, nikikwambia nioneshe aliye msafi asie na doa kati yetu utaweza?
Ukiwa na hiyo mentality uliyonayo yakumuhukumu kila mmoja utachelewa sana kuyafikia malengo, mwishowe utajihukumu mwenyewe.
Sri Lanka imeisha onyesha mfano.Kwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi.
Kwakuwa ugumu huu wa maisha hauchagui itikadi za vyama au wasiokuwa na vyama, kupitia thread hii tukusanye maoni ya wananchi jinsi ya kuratibu na kufanya maandamano makubwa nchi nzima yasiyo na kikomo kupinga maisha magumu na hizi tozo za kipuuzi.
Ni muda mufafaka Sasa Kwa Watanzania tuungane tuweke vyama pembeni, dunia nzima maandamano yenye mafanikio ni ya kiraia siyo ya vyama vya Siasa, nguvu mnayoitumia kwenye Simba day na Yanga day tukiunganisha pamoja kukataa kuswagwa kama Ng'ombe kwenye nchi yetu, Mwigulu ataachia mwenyewe ofisi ya umma na mama atasikia kilio chetu.
Uamuzi ni wetu tuendelee kuwekeza kwenye ujinga na mambo yasiyokuwa na Tija kama lete mzungu au tuchukuwe hatua Sasa.
Kama hatuwezi kuchukuwa hatua Sasa tukae kimya jumla tuache ulalamishi tuache serikali itekeleze ilani ili ituletee maendeleo na watu wote tukae kimya.
Sasa nakaribisha maoni na ushauri namna ya kuratibu maandamano nchi nzima kupinga maisha magumu, hili linawezekana timiza wajibu wako, hili vuguvugu likipamba moto na wakaona tupo serious watarekebisha tatizo kabla ya maandamano makubwa nchi nzima.
Basi SAMIA NA KIKWETE NI AGENT WA MUNGU watakwenda peponi kutomb bikra 70 au kukutana na bwana yesuJPM ni agent wa Lucifer.
Siku hizi vilevi aviguswi kabisa sijui kama mnajua kwa nini ? Zamani kukitokea tatizo la fedha basi kimbilio ni kwenye vileviSERIKALI liangalie hili mbona Kuna njia nyingi za kujipatia Kodi Bila kuchukua tozo za muamala ya simu na benki, SERIKALI zilizopita zilijiendesha vipi Bila hizi tozo? Hakika SERIKALI ya Sasa inapesa ya kutosha tunatarajia kuona makubwa kupitia tozo zetu.
Wewe ni mpumbavu tu!Kwakuwa Idara ya usalama wa Taifa wana dawati la Siasa Nina uhakika wanafuatilia hii thread ambayo tuko serious hatubeep.
Naomba wachangiaji wote tudhibiti hasira zetu tusitukane viongozi wetu, tuwe objective mwisho wa siku ni conclusion ya kuingia barabarani, wale wanaondelea kushupaza shingo waendelee tu wananchi tumeshaamuwa hatuna cha kupoteza.
ukitaka kumtawala mtu masikini ili asikusumbue muwekee hali ngumu atahangaika kutafuta ugali na kukuacha ufanye siasa zakoAchana na kichwa Cha habari
Wakuu hizi tozo zinazoanzishwa Kila uchwao huku gharama ya maisha ikipaa Kila siku Hawa viongoz hawaoni wanachotufanyia
Vyakula vipo bei juu Sana lakn bado tunaongeza Kodi tuu na tozo juu lengo n nini?
Rais wetu yeye yupo kimya tu anafurah tu sisi kuumizwa na hili
Tujitafakari watanzania Kama nafas ya juu inaweza kushikwa na wanawake au la
CCM nyie ndio chama tawala hizi too hazimuumiz mwana TLP UPDP CHADEMA TU Bali zinatuumiza wote naomba Sana fanyeni kumshaur Rais juu ya hili
Hali n mbaya Sana mtaani
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Acheni michango ya kipuuzi. Kuandamana kama njia ya kufikisha ujumbe kwa watawala ni njia halali kisheria.Utaratibu mzuri ni kuwa,
Ww na family yako muanze kuandamana na mabango pale nje ya get la ikulu
Then watu wengine watafata
Wewe huelewi hata kinachojadiliwa. Kuna mtu ameongelea kukataa kulipa kodi? Watu wanaongelea hizi zinazoitwa tozo, siyo kodi.Hakuna ishu ya usaliti
Tunazungumza ukweli, msemaji wa serikali ameshasema atatolea maelekezo ishu mzima
So tusubiri serikali iseme
Inchi zote duniani zinalipa Kodi, hakuna maendeleo bila kodi