Ni kweli hali ya maisha imekuwa ngumu, na pia ni kweli hizi tozo hazikubaliki, sasa wananchi tuseme kwa vitendo imetosha

Ni kweli hali ya maisha imekuwa ngumu, na pia ni kweli hizi tozo hazikubaliki, sasa wananchi tuseme kwa vitendo imetosha

Hivi akili zenu huwa mnafungia kabatini? Ikiongelewa demokrasia hamtaki kufananishwa na Kenya na IPO East Africa, Ila likija swala Bei ndio mnataka kujifananisha, huwa mnatumia akili zipi?

Hata democracy Sisi yetu Iko juu kuliko hao wote

Au to you meaning ya democracy ni mpinzani kuwa rais ? Au kuwa mbunge?

Turudi kwenye topic, Lete fact ya Bei ya Mafuta Kwa inchi zinazotuzunguka, au ww unaaakili zaidi ya kujua bei imepungua kuliko serikali zote
 
Sasa mbona unahama toka kwenye mjadala uliopo?

Kama tukianza kutazamana kwa jicho hilo, nikikwambia nioneshe aliye msafi asie na doa kati yetu utaweza?

Ukiwa na hiyo mentality uliyonayo yakumuhukumu kila mmoja utachelewa sana kuyafikia malengo, mwishowe utajihukumu mwenyewe.
Ndio maana nikakwambia usiwe mshabiki wa mwanasiasa yoyote Cha msingi uunga mkono pale ambapo mwanasiasa anapokuwa sahihi tu
 
Kwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi.

Kwakuwa ugumu huu wa maisha hauchagui itikadi za vyama au wasiokuwa na vyama, kupitia thread hii tukusanye maoni ya wananchi jinsi ya kuratibu na kufanya maandamano makubwa nchi nzima yasiyo na kikomo kupinga maisha magumu na hizi tozo za kipuuzi.

Ni muda mufafaka Sasa Kwa Watanzania tuungane tuweke vyama pembeni, dunia nzima maandamano yenye mafanikio ni ya kiraia siyo ya vyama vya Siasa, nguvu mnayoitumia kwenye Simba day na Yanga day tukiunganisha pamoja kukataa kuswagwa kama Ng'ombe kwenye nchi yetu, Mwigulu ataachia mwenyewe ofisi ya umma na mama atasikia kilio chetu.

Uamuzi ni wetu tuendelee kuwekeza kwenye ujinga na mambo yasiyokuwa na Tija kama lete mzungu au tuchukuwe hatua Sasa.

Kama hatuwezi kuchukuwa hatua Sasa tukae kimya jumla tuache ulalamishi tuache serikali itekeleze ilani ili ituletee maendeleo na watu wote tukae kimya.

Sasa nakaribisha maoni na ushauri namna ya kuratibu maandamano nchi nzima kupinga maisha magumu, hili linawezekana timiza wajibu wako, hili vuguvugu likipamba moto na wakaona tupo serious watarekebisha tatizo kabla ya maandamano makubwa nchi nzima.
Sri Lanka imeisha onyesha mfano.
 
SERIKALI liangalie hili mbona Kuna njia nyingi za kujipatia Kodi Bila kuchukua tozo za muamala ya simu na benki, SERIKALI zilizopita zilijiendesha vipi Bila hizi tozo? Hakika SERIKALI ya Sasa inapesa ya kutosha tunatarajia kuona makubwa kupitia tozo zetu.
 
SERIKALI liangalie hili mbona Kuna njia nyingi za kujipatia Kodi Bila kuchukua tozo za muamala ya simu na benki, SERIKALI zilizopita zilijiendesha vipi Bila hizi tozo? Hakika SERIKALI ya Sasa inapesa ya kutosha tunatarajia kuona makubwa kupitia tozo zetu.
Siku hizi vilevi aviguswi kabisa sijui kama mnajua kwa nini ? Zamani kukitokea tatizo la fedha basi kimbilio ni kwenye vilevi
 
ilimradi maendeleo tanayaona hakuna shida kabisaaa......

Mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe.
tusitegemee kujengewa nchi yetu na mataifa mengine.

wala tusifikirie eti jinsi awamu ya 1 hadi ya 6 walivyo ongoza lazima ifanane na awamu hii ya 5, kila kiongozi anamaono yake ya kutuletea maendeleo.

Tutaendelea kulipa tozo bila shida yoyote.
 
Kwakuwa Idara ya usalama wa Taifa wana dawati la Siasa Nina uhakika wanafuatilia hii thread ambayo tuko serious hatubeep.

Naomba wachangiaji wote tudhibiti hasira zetu tusitukane viongozi wetu, tuwe objective mwisho wa siku ni conclusion ya kuingia barabarani, wale wanaondelea kushupaza shingo waendelee tu wananchi tumeshaamuwa hatuna cha kupoteza.
Wewe ni mpumbavu tu!

Si ndio ulikuwa unademka viuno humu kwamba anaupiga mwingi?
 
Achana na kichwa Cha habari

Wakuu hizi tozo zinazoanzishwa Kila uchwao huku gharama ya maisha ikipaa Kila siku Hawa viongoz hawaoni wanachotufanyia

Vyakula vipo bei juu Sana lakn bado tunaongeza Kodi tuu na tozo juu lengo n nini?

Rais wetu yeye yupo kimya tu anafurah tu sisi kuumizwa na hili

Tujitafakari watanzania Kama nafas ya juu inaweza kushikwa na wanawake au la
CCM nyie ndio chama tawala hizi too hazimuumiz mwana TLP UPDP CHADEMA TU Bali zinatuumiza wote naomba Sana fanyeni kumshaur Rais juu ya hili

Hali n mbaya Sana mtaani



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
ukitaka kumtawala mtu masikini ili asikusumbue muwekee hali ngumu atahangaika kutafuta ugali na kukuacha ufanye siasa zako
 
Utaratibu mzuri ni kuwa,

Ww na family yako muanze kuandamana na mabango pale nje ya get la ikulu

Then watu wengine watafata
Acheni michango ya kipuuzi. Kuandamana kama njia ya kufikisha ujumbe kwa watawala ni njia halali kisheria.

Watu wanapojadili mambo ya maana, kama huna hoja, nyamaza, endelea kusoma na kufuatilia hoja za wenye hoja, kama unataka.
 
ilimradi maendeleo tanayaona hakuna shida kabisaaa......tozo xi3ndeleee tena zitazamwe njia zingine ili tuchangie maendeleo yetu.

Mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe.
tusitegemee kujengewa nchi yetu na mataifa mengine.

wala tusifikirie eti jinsi awamu ya 1 hadi ya 6 walivyo ongoza lazima ifanane na awamu hii ya 5, kila kiongozi anamaono yake ya kutuletea maendeleo.

Tutaendelea kulipa tozo bila shida yoyote.
 
Mku huu sio wakati wake kwani tunafanyiwa mambo ya ovyo sana.
Kuendana uanachama wangu hili limenifikisha mwisho kabisa kumbuka tuliowapa dhamana hawataki kujiongeza kwa ubuni njia mpya ambazo hazituumizi wanatuchukilia vibaya sana.
Kuna kundi kubwa sana halina ajira lakini nalo wameshindwa kulifanyia ufumbuzi ardhi tunayo ya kutosha lakini hawataki kuwekeza ili kubuni ajira wao wanasubiria kilichoiva tu
 
Hakuna ishu ya usaliti

Tunazungumza ukweli, msemaji wa serikali ameshasema atatolea maelekezo ishu mzima

So tusubiri serikali iseme

Inchi zote duniani zinalipa Kodi, hakuna maendeleo bila kodi
Wewe huelewi hata kinachojadiliwa. Kuna mtu ameongelea kukataa kulipa kodi? Watu wanaongelea hizi zinazoitwa tozo, siyo kodi.
 
ilimradi maendeleo tanayaona hakuna shida kabisaaa......tozo iendelee tena nashauri ziangaliwe njia nyingine za kuchangia maendeleo yetu, badala ya kuchangia harusi na masharehee mengine sasa tunaweza kuchangia 1200 maendeleo ya barabara zetu, hospitali, maji n.k

Mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe.
tusitegemee kujengewa nchi yetu na mataifa mengine.

wala tusifikirie eti jinsi awamu ya 1 hadi ya 6 walivyo ongoza lazima ifanane na awamu hii ya 5, kila kiongozi anamaono yake ya kutuletea maendeleo.

Tutaendelea kulipa tozo bila shida yoyote.

wanao pinga tozo ni wahuni wachache wenye matatizo ya afya ya akili.
 
Back
Top Bottom