Ni kweli hali ya maisha imekuwa ngumu, na pia ni kweli hizi tozo hazikubaliki, sasa wananchi tuseme kwa vitendo imetosha

Gasoline prices per litre, octane-95: We show prices for Zambia from 09-May-2022 to 15-Aug-2022. The average value for Zambia during that period was 25.68 Zambian Kwacha with a minimum of 24.15 Zambian Kwacha on 16-May-2022 and a maximum of 26.75 Zambian Kwacha on 04-Jul-2022. For comparison, the average price of gasoline in the world for this period is 32.72 Zambian Kwacha.

Zambia kwa zaidi ya mwezi mzima, bei ya mafuta haijapanda.

Zambia Gasoline prices, litre, Zambian Kwacha

[https://www]
 
Mi nahisi mama yeye analala Kama katoto kachanga Hawazi chochote kile,akiamka asubuhi abaletewa kila kitu ye anaitikia tu,sioni anachofanya ktk hii nchi uju kaahh!!
 

Wanaagiza au wanatumia ambayo waliweka akiba ?
 
Tatizo tumemwachia Samia afanye atakavyo.
 
Hakuna namna inabidi wapigwe tu.... (Kama Pinda alivyosema)
 
Ndio maana nikakwambia usiwe mshabiki wa mwanasiasa yoyote Cha msingi uunga mkono pale ambapo mwanasiasa anapokuwa sahihi tu
Nani mshabiki wa vyama? mimi kuwataja Lissu na Mbowe kwenye comment yangu hakunifanyi niwe mshabiki wa chama, tatizo nakuona una allergy na hayo majina ambayo kwako unayaona hayana sifa yoyote nzuri, ndio maana nimekuuliza mtaje unayeona hana kasoro.. umeshindwa.
 
Kweli kabisa sisi ndio tunatakiwa kujenga nchi yetu Tozo ni kwaajili ya aendeleo ya taifa letu na watu wasichokijua tunakua tunawasaidia wale wasio na uwezo kama kupitia tozo hsp watu watatibiwa kwa gharama nafuu elimu bure mikopo kwa wananchi ili waweze kujiajiri
 
Tupunguze kukopa nje ili tozo zipungue..nchi inalazimika kuweka tozo nyingi ili kuonesha uhimilivu wa kurejesha madeni
Lazima tutoe tozo ili tufanye maendeleo serikali haijawai kukulupuka kila kitu kimepangwa muda murefu
 
Machawa siku zenu zinahesabika, Nyerere alipokuwa anasema tufunge mikanda viongozi wa serikali walitumia land Rover 109, siyo nyinyi mbwa mnaotembelea V8 halafu mnahubiri tufunge mikanda, mwisho wenu hauko mbali.
 
Ni Heri ya anayepiga punyeto anaitendea nchi haki kuliko kumwaga ndani ukazaa kibwengo kama hiki.
 
Lazima tutoe tozo ili tufanye maendeleo serikali haijawai kukulupuka kila kitu kimepangwa muda murefu
Huyo Mzee wa Msoga aliweza vipi kuendesha serikali bila tozo na mishahara hewa juu na aliweza kulipa?
 
Vuguvugu......
Hili ni vuguvugu la mabadiriko ya kweli, wakiweka pamba masikioni watajuta milele.
Tunakuja Kwa style ya minyoo wala haiitaji mimba wala mayai kuzaliwa.

Watatuheshimu tu safari hii, tayari majiji matano kuna wananchi wamejitolea kuratibu vuguvugu hili.
 
Machawa siku zenu zinahesabika, Nyerere alipokuwa anasema tufunge mikanda viongozi wa serikali walitumia land Rover 109, siyo nyinyi mbwa mnaotembelea V8 halafu mnahubiri tufunge mikanda, mwisho wenu hauko mbali.
Kwani wewe huoni miradi mbalimbali inayotokana na tozo zetu, huzioni huduma zikiwa zimesogezwa karibu yako au upo wapi huko ambako huoni huduma na miradi inayopendeza na kuvutia
 
Kabla ya kuandamana,tutumie njia ya mazungumzo na viongozi.
Kumbukeni hasara za maandamano zinaweza kuligharimu taifa letu;ikiwa ni pamoja na kuharibu miundombinu,mali za watu binafsi na hata kugharimu maisha.

After all:
SI TUNA WABUNGE AMBAO NI WAWAKILISHI WETU?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…