MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Habari zenu wakuu.
Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze nyumbani mwenyewe kwenye chumba chake cha efu arobaini kwa mwenzi.
Hizi gharama asilimia 90 ya watanzania hatuzimudu,na watakao zimudu hawatoboi mienzi hata miwili.