DOKEZO Ni kweli Hospitali ya Taifa Muhimbili kulala kwa siku ni gharama zake ni tsh 50,000?

DOKEZO Ni kweli Hospitali ya Taifa Muhimbili kulala kwa siku ni gharama zake ni tsh 50,000?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ngoja nikuelimishe kidogo

Hiyo gharama inachajiwa kama wewe umeenda pale bila rufaaa na ukienda bila rufaa unawekwa kwenye kundi la private client

Ukieenda na rufaa gharama zake nafuu hazipo ivyo kabisa ilo kundi linaitwa costsharing ambapo serikali inakuchangia gharama za matibabu

Ukienda nenda kiholehole lazima gharama ziwe juu
 
1.Ndio ni elfu 50,000/=
2.ni kweli kama taifa hatupo salama Kwa mambo mengi si tu,gharama za hospitali-----bajeti ya ofisi ya mkuu wa wilaya ni mara 10 ya bajeti ya hospitali ya wilaya
3.Tanzania ni zaidi ya jehenamu
4.Ndio watanzania zaidi ya 90%ni masikini ila baa na makasino yanajaa,sigara zinanunuliwa,shisha zinavutwa,harusi zinachangiwa na hio hospitali ulioitaja huwa inajaaga hatakitanda hakuna
Nchi inaongozwa na kikundi cha wahuni.
 
Hapo kuna mawili na swali lako lina utata..., Yaani gharama (cost inayotumika hicho kitanda kuwepo hapo kilipo) au bei inayochajiwa (yaani huenda cost per day na uangalizi ni elfu 20 au laki mbili) lakini wanachaji elfu 50/=

All in all binafsi nilishasema Afya ni Huduma hivyo tuwekeze kwenye Hospitali za UMMA hivyo affordability iwe muhimu zaidi...

Kulala yaahn kugeuza mgongo kulia na kushoto na kulala chali(kulalia mgongo) kwa masaa kadhaa kwa siku ni tsh 50,000 na kumbuka hiko kitanda ni kama vya boarding
 
sasa kama mnalalamika hiyo 50K wakati hapo agakhan kuna mpaka wodi ya milioni moja kwa siku na ndiko wanakoenda hao kina diblo dibala na wafuasi wao wote hadi chawa wao kila siku hata wakiwa na mafua, then nyie mnahangaika na 50k na bado mnaendelea kuwasujudia nyambaf kuleni jeuri yenu simliamua wenyewe shida alaaaah mnakuja kmlalamikia nani humu mkiwa na hasira andamaneni. Nyambaf,
Huna akili.
 
Ngoja nikuelimishe kidogo

Hiyo gharama inachajiwa kama wewe umeenda pale bila rufaaa na ukienda bila rufaa unawekwa kwenye kundi la private client

Ukieenda na rufaa gharama zake nafuu hazipo ivyo kabisa ilo kundi linaitwa costsharing ambapo serikali inakuchangia gharama za matibabu

Ukienda nenda kiholehole lazima gharama ziwe juu
Kwanini gharama ziwe juu kwani huyo anakuwa sio mtanzania hakuna shule uliyonipa zaidi hizo ni hadaa tu za serikali.....mtu kazidiwa ghafla uanze kusbiri rufaa anadhani uhai ni sabani utaenda dukani kwa mangi ununue kama ikiisha.
 
Kulala yaahn kugeuza mgongo kulia na kushoto na kulala chali(kulalia mgongo) kwa masaa kadhaa kwa siku ni tsh 50,000 na kumbuka hiko kitanda ni kama vya boarding
Ofcourse haifai sababu bei hio sio affordable lakini sidhani kama watu wanakwenda hospitali ili walale bali ni zile huduma zinazopatikana sababu sidhani kama ukisema utasimama basi watakuchaji pesa ya sakafu.....

Anyway hii nchi sasa hivi watu hawana kabisa basic needs...
 
Mkuu kuna mtu anaumwa ugonjwa ambao inabid akae hospitali hata mienzi miwili na hapo ujue tatzo lake ni very kubwa operation za milion zimetumika mtu kama huyu huoni unamuumiza sana.....hapo ndugu lazima wakuchoke maana ruti za kuleta chakula plus gharama za matibabu sio powa.
Ofcourse haifai sababu bei hio sio affordable lakini sidhani kama watu wanakwenda hospitali ili walale bali ni zile huduma zinazopatikana sababu sidhani kama ukisema utasimama basi watakuchaji pesa ya sakafu.....

Anyway hii nchi sasa hivi watu hawana kabisa basic needs...
 
Bima za kibongo ni utapeli mwengine kama wa michango ya NiFFA na watu wa kariakoo
ziko real mi nimewakatia watu wa familia na mmoja alikuwa na magonjwa ya muda mrefu gharama za matibabu nilishasahau kitambo sana. Tatizo tunapenda kubeza kila kitu. Hakuna tatizo kubwa kama kuwa anarchist, unakuwa unaishi kwenye denial state kila wakati huku wewe ndie unaeteseka!
 
Back
Top Bottom