Gentleman,
zidisha juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe.
ukiwa na kipato cha uhakika na ukiwa na bima ya Afya huwezi kua na mashaka na matibabu na wala huwezi kupotoshwa na kutishwa na yeyote. epuka uvivu.
Muhimbili kila idara imejaa wagonjwa wakitafuta tiba, kuna wakati ilifikia hadi wanalala sakafuni kwa wingi wao.
hiyo inamaanisha waTanzania wana uwezo wa gharama za muhimbili.
sasa hiyo asilimia 90 unaojaribu kupotoshwa eti hawawezi kumudu, inaweza kua ni wewe na huyo mpotoshaji pekee ambao ndiyo hamumudu hizo, ila mnamudu kula bata mpka asubuh kwetu Pazuri na kwingineko, na huku mkimiliki iPhone ya milioni 4, isiyo na vocha wiki nzima 🐒