DOKEZO Ni kweli Hospitali ya Taifa Muhimbili kulala kwa siku ni gharama zake ni tsh 50,000?

DOKEZO Ni kweli Hospitali ya Taifa Muhimbili kulala kwa siku ni gharama zake ni tsh 50,000?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Gentleman,
zidisha juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe.

ukiwa na kipato cha uhakika na ukiwa na bima ya Afya huwezi kua na mashaka na matibabu na wala huwezi kupotoshwa na kutishwa na yeyote. epuka uvivu.

Muhimbili kila idara imejaa wagonjwa wakitafuta tiba, kuna wakati ilifikia hadi wanalala sakafuni kwa wingi wao.

hiyo inamaanisha waTanzania wana uwezo wa gharama za muhimbili.

sasa hiyo asilimia 90 unaojaribu kupotoshwa eti hawawezi kumudu, inaweza kua ni wewe na huyo mpotoshaji pekee ambao ndiyo hamumudu hizo, ila mnamudu kula bata mpka asubuh kwetu Pazuri na kwingineko, na huku mkimiliki iPhone ya milioni 4, isiyo na vocha wiki nzima 🐒
Mkuu asilimia kubwa ya Wanaoenda Muhimbili wanakuwa hawana chaguo lingine zaidi ya Muhimbili.. Na hawaendi kwa maamuzi yao, bali wanapewa Rufaa baada ya Hospitali nyingine kushindwa kutibu ugonjwa wao..

Siyo kwamba wana pesa nyingi, La hasha!!
 
Mwezi wa pili nilipo kua nimevunjika mguu nilikua private ward kwa wiki moja na siku mbili nililipa 85k per day labda nilifanyiwa discount

Ila nilishangaa Sana Sana walibadilisha mashuka kila asbh na kupimwa pressure kila asbh Ila ni Bora hata hoteli ningepewa japo breakfast Ila ni gharama Sana mkuu kwa watanzania wenzangu wa Hali ya chini..
Ulikuwa MOI??
Maana Private za MOI Pale wanafanyiwa Huduma Zote na Hata Chakula Kuna Vijana Hupeleka Muda wote..
Na Ni Ward ambazo zina AC, Video na hata Peronal Fridge na Huduma za.Self container...

Na Wanatoza 100k per night ila kwa wale wenye Bima za strategy na Wenye Bima za TPDF hupendelea sana kukaa Mule..kwa sababu ni sehemu Tulivu na Kupata Huduma unayotaka Ni muda wowote na Manurse huudumia kila Muda mule..

Na hiyo 100k ni mpaka Chakula..
Kwa wale wa Bima ya Afya NHIF huwa wanaongeza jiasi cha Tsh 60k kwa siku Na Bima Inawapa Kiasi cha 40k ..
 
Mkuu,
Unajua hospitali namba moja TANZANIA ni muhimbili so ndio kimbilio nchi nzima

Unajua Kuna watu hupewa referral kuja muhimbili from either bugando,kcmc e.t.c japo na izo ni hospital kubwa hapa nchini..

Unajua mwaka 2010 mpaka 2020 watu wenye matatizo ya Figo ilitakiwa wake dar es salaam TZ kupata huduma na kimakazi?! Baba mdogo angu Ali survive miaka 10 na issue ya Figo na aliacha kila chake akaja dar kupambania uhai..

Dialysis unajua gharama zake..mkuu acheni siasa majority humu tunatoka backgrounds za kimaskini Ila mnajipofusha fikra zenu.

TZ sisi majority ni maskini ie case study YANAYO ENDELEA BAADA YA MASAA 72 KARIAKOO KWENYE WOKOZI AJAR
Hiyo dialysis utapata wapi kwa gharama ya chini zaidi ya Muhimbili gentleman?

huduma nyingi kwa gharama ya kila mTanzania kuimudi iko muhimbili.

Pole sana kwaajili ya mahangaiko ya mjomba wako jasiri na asiekata tamaa kwa kwa jitihada zake za kutafuta suluhu la tatizo la figo.

But ,
anyway. Hospitali yetu ya Taifa Muhimbili, inaendelea kuimarishwa na kupanua utoaji wa huduma zake ili hatimae waTanzania waendelee kupata nafuu kwa gharama nafuu zaidi kadiri ya maboresho yanayoendelea 🐒
 
Mkuu,
Unajua hospitali namba moja TANZANIA ni muhimbili so ndio kimbilio nchi nzima

Unajua Kuna watu hupewa referral kuja muhimbili from either bugando,kcmc e.t.c japo na izo ni hospital kubwa hapa nchini..

Unajua mwaka 2010 mpaka 2020 watu wenye matatizo ya Figo ilitakiwa wake dar es salaam TZ kupata huduma na kimakazi?! Baba mdogo angu Ali survive miaka 10 na issue ya Figo na aliacha kila chake akaja dar kupambania uhai..

Dialysis unajua gharama zake..mkuu acheni siasa majority humu tunatoka backgrounds za kimaskini Ila mnajipofusha fikra zenu.

TZ sisi majority ni maskini ie case study YANAYO ENDELEA BAADA YA MASAA 72 KARIAKOO KWENYE WOKOZI AJAR
Hawajui alikujaga muhindi anashida na figo nilimuonea huruma sana yule muhindi ugonjwa ushafilisi biashara zake
 
Gentleman,
zidisha juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe.

ukiwa na kipato cha uhakika na ukiwa na bima ya Afya huwezi kua na mashaka na matibabu na wala huwezi kupotoshwa na kutishwa na yeyote. epuka uvivu.

Muhimbili kila idara imejaa wagonjwa wakitafuta tiba, kuna wakati ilifikia hadi wanalala sakafuni kwa wingi wao.

hiyo inamaanisha waTanzania wana uwezo wa gharama za muhimbili.

sasa hiyo asilimia 90 unaojaribu kupotoshwa eti hawawezi kumudu, inaweza kua ni wewe na huyo mpotoshaji pekee ambao ndiyo hamumudu hizo, ila mnamudu kula bata mpka asubuh kwetu Pazuri na kwingineko, na huku mkimiliki iPhone ya milioni 4, isiyo na vocha wiki nzima 🐒
Ukikosa akili usitake kila mtu ajue kuwa huna akili, jaribu kufunga kinywa chako kama hujatafakari...
 
Mkuu asilimia kubwa ya Wanaoenda Muhimbili wanakuwa hawana chaguo lingine zaidi ya Muhimbili.. Na hawaendi kwa maamuzi yao, bali wanapewa Rufaa baada ya Hospitali nyingine kushindwa kutibu ugonjwa wao..

Siyo kwamba wana pesa nyingi, La hasha!!
Gentleman,
ndiyo maana nasema muhimbili ndiyo pekee affordable hospital kwa aina zote za wagonjwa ambao madaktari wengi huwapa rufaa wagonjwa wengi kwenda huko..

Na ni hospitali pekee ambayo mpaka ina msamaha kwa baadhi ya wagonjwa 🐒
 
Ukikosa akili usitake kila mtu ajue kuwa huna akili, jaribu kufunga kinywa chako kama hujatafakari...
muerevu umejaa mihemko na ghadhabu tu 🤣

umefikia kiwango chako cha mwisho cha mawazo mapya na fikra mbadala mapema sana gentleman dah 🤣
 
Ndiyo ni kweli, Nina ndugu yangu alitibiwa hapo Kam wiki mbili zilizopita, gharama ya kitanda kwa siku ni elf 50, hata nasi ilitushangaza lkn tulilipa
Sasa kama ndio hivyo hizi Kodi tunazolipa Zina faida gani kwetu

Na bado TRA wanajisifia kuwa makusanyo yameongezeka

Hapa ilipofikia hi nchi tunahitaji Chama Cha upinzani chenye nguvu haraka sana
 
muerevu umejaa mihemko na ghadhabu tu 🤣

umefikia kiwango chako cha mwisho cha mawazo mapya na fikra mbadala mapema sana gentleman dah 🤣
Wala sina mihemko, na wala sina ghadhabu mkuu.

Ila swala la afya ya binadamu haitaki ubainfsi, ulichoandika ni ubinafsi, swala la fedha kila mtu anazitafuta, ila huwezi amini hata wenye fedha nyingi, linapokuja swala la afya nao wanaumia.

Kuwe na gov't subsidy ili kusaidia jamii yote, wenye nacho na wasio nacho. Swala la universal health linagusa kila mtu, hakuna aliye salama. Ndio maana nikakuambia, shirikisha akili yako, sio kila kitu uingize siasa za majitaka za ccm.
 
Habari zenu wakuu.

Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze nyumbani mwenyewe kwenye chumba chake cha efu arobaini kwa mwenzi.

Hizi gharama asilimia 90 ya watanzania hatuzimudu,na watakao zimudu hawatoboi mienzi hata miwili.
Chadema hz ndo sera ila mnajitia wehu tu , Kuna muda nahis chadema ni ccmu B
 
Kulala yaahn kugeuza mgongo kulia na kushoto na kulala chali(kulalia mgongo) kwa masaa kadhaa kwa siku ni tsh 50,000 na kumbuka hiko kitanda ni kama vya boarding

Wale madaktari uchwara kina DR HAYA LAND wenye kutuchagiza kuchangia wakitugeuza miradi, kwenye nyuzi za wazi kama hizi huwezi kuwaona.

Ni mwendo wa kupita juu kwa juu kimya kimya.

Mishahara wanalipwa l, ila tena wanataka kulipwa Kwa mgonjwa kwa mgonjwa, utu kwao = 0.

Wagonjwa wa pesa full kugombewa.

Kama ni utajiri si wakauze nguo kariakoo?
 
Wala sina mihemko, na wala sina ghadhabu mkuu.

Ila swala la afya ya binadamu haitaki ubainfsi, ulichoandika ni ubinafsi, swala la fedha kila mtu anazitafuta, ila huwezi amini hata wenye fedha nyingi, linapokuja swala la afya nao wanaumia.

Kuwe na gov't subsidy ili kusaidia jamii yote, wenye nacho na wasio nacho. Swala la universal health linagusa kila mtu, hakuna aliye salama. Ndio maana nikakuambia, shirikisha akili yako, sio kila kitu uingize siasa za majitaka za ccm.
sasa gentleman,
ikiwa huna mihemko na ni mtu mwerevu,

unawezaje kubeza maoni au mtazamo wa wengine ambao tofauti na wako, badala ya kupendekeza au kutoa wazo jipya au fikra mbadala na powerful zaidi ya lilotolewa?

na mbona una maoni mazuri tu? ndiyo maana nikasema una mihemko na unaonyesha kabisa kua na majivuno, mbinafsi mwenye altitude,

Sio vizur na usirudie tena tabia hiyo ya uchoyo na ubinafsi. Mtu una wazo zuri tu but unakua mbinafsi kulitoa mpaka sijui ufanyajwe.

Anyway,
suluhu na ahueni kwa mambo yote ya kiafya kwa kila mTanzania ndio hicho ambacho serikali na wadau mballimbali wa afya wanashauri na kusisitiza kila siku kwamba kila familia kua na bima ya afya.

Mazingira ya kupata bima yako vizuri ni uamuzi wa familia husika tu 🐒
 
Gharama za kulala hotelini hiyo, serikali iangalie na kushusha hizo gharama iangalie kipato cha Mtanzania wa kawaida, mfano kunawatumishi wa uma wanalipwa sh 300k akilazwa wiki ataeza kuzilipa hizo gharama kweli?
 
sasa gentleman,
ikiwa huna mihemko na ni mtu mwerevu,

unawezaje kubeza maoni au mtazamo wa wengine ambao tofauti na wako, badala ya kupendekeza au kutoa wazo jipya au fikra mbadala na powerful zaidi ya lilotolewa?

na mbona una maoni mazuri tu? ndiyo maana nikasema una mihemko na unaonyesha kabisa kua na majivuno, mbinafsi mwenye altitude,

Sio vizur na usirudie tena tabia hiyo ya uchoyo na ubinafsi. Mtu una wazo zuri tu but unakua mbinafsi kulitoa mpaka sijui ufanyajwe.

Anyway,
suluhu na ahueni kwa mambo yote ya kiafya kwa kila mTanzania ndio hicho ambacho serikali na wadau mballimbali wa afya wanashauri na kusisitiza kila siku kwamba kila familia kua na bima ya afya.

Mazingira ya kupata bima yako vizuri ni uamuzi wa familia husika tu 🐒
Sijui kati yangu na wewe nani ameandika kiubinafsi, kwamba kisa wewe unajiweza kiuchumi(?) basi unashurutisha wote "tutafute pesa". Unadhani watu hawazitafuti?
 
Nina mtoto amelazwa pale ward za watoto leo dokta kasema kesho wanaweza wakamruhusu nitaleta feedback nitakachokutana nacho.

Ila nahisi kama siyo sahihi maana private hospital kama pale BOSCHI kitanda ni 25K per day haiwezekani serikali ikamue kiasi hicho labda nisubiri nione
 
Back
Top Bottom