DOKEZO Ni kweli Hospitali ya Taifa Muhimbili kulala kwa siku ni gharama zake ni tsh 50,000?

DOKEZO Ni kweli Hospitali ya Taifa Muhimbili kulala kwa siku ni gharama zake ni tsh 50,000?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sijui kati yangu na wewe nani ameandika kiubinafsi, kwamba kisa wewe unajiweza kiuchumi(?) basi unashurutisha wote "tutafute pesa". Unadhani watu hawazitafuti?
Gentleman,
mimi ile kitu naweza kufanya kwa bidii sana ni kilimo, hapa kusema ukweli najiweza.

Acheni uvivu basi ndrugo zango na mkate bima za afya japo si Lazima?🐒
 
Mishahara wanalipwa l, ila tena wanataka kulipwa Kwa mgonjwa kwa mgonjwa, utu kwao = 0.

Wagonjwa wa pesa full kugombewa.

Kama ni utajiri si wakauze nguo kariakoo?
Wakadondokewe na maghorofa mabovu wafe?

Hakuna mtu anaogopa kufa kama mtu mwenye uhakika wa mshahara mwisho wa mwezi
 
Gentleman,
mimi ile kitu naweza kufanya kwa bidii sana ni kilimo, hapa kusema ukweli najiweza.

Acheni uvivu basi ndrugo zango na mkate bima za afya japo si Lazima?🐒
Halafu nikisema hujitambui unanijia juu! Universal Health care policies zinahitaji kila mtu apate huduma bora za afya regardless ya kipato chake..

Basi tuishie hapo, maana utakuja na "gentleman " zako hapa..😆
 
Sasa mtu anataka Hospitali ya Taifa watoze Bei gani??
Kama Huko.swekeni Hospitali ya Wilaya na Hospitali za Mikoa Wanatozwa 25k mpaka 30k kwa siku..
Na Huko Hospitali za Kanda wanatozwa 40k mpaka 50k..
Hiyo 50k Ni msaada tu walitakiwa kutoza Bei zaidi ya Hiyo..
Kumbe nawe ndio walewale
 
Kumbe ndiyo maana mzee mmoja msomi alimuondoa mkewe hospital wakati hali yake mbaya Sana hatembei ni kulala tu.
Huduma karibu zote kitandani.
 
Watu bwana😀

Gharama ya kulazwa ni 50K inayolipwa once, mpaka utakaporuhusiwa, haijalishi utakaa muda gani.
 
Nakubalina na Wewe kabisa 100%
Kama tukibadilisha Sera na Wizara ya afya ipokee Ruzuku na Hospitali Zisijiendeshe zipokee Pesa Moja kwa Moja kama vipokeavyo Vyuo na Mashule Tunaweza Kumudu Gharama
Kwani Basket Fund inaenda wapi siku hizi?
 
Ninavyojua kuna wadi special ukitaka mwaka 2011 ilikua kitanda 45000,so huko sasa inaweza kuwa 50k au zaidi.huku kwa kawaida sidhani kama imefika huko basi tena.
 
Sasa mtu anataka Hospitali ya Taifa watoze Bei gani??
Kama Huko.swekeni Hospitali ya Wilaya na Hospitali za Mikoa Wanatozwa 25k mpaka 30k kwa siku..
Na Huko Hospitali za Kanda wanatozwa 40k mpaka 50k..
Hiyo 50k Ni msaada tu walitakiwa kutoza Bei zaidi ya Hiyo..
Ni rahisi kuongea hivyo kama unaishi maisha ya kulipiwa kila kitu na ofisi au kampuni.
 
Back
Top Bottom