Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Ni gharama Ndogo sana Sasa Hapo hata Sio PW kule Private...
Bima ni 155,000 kwa mwaka.
Nimeshangaaa pia ndio maana nikakuita🤔Mbona Ni gharama Ndogo sana Sasa Hapo hata Sio PW kule Private...
Mtu analalamika 50k Wodi ya kawaida Sasa Muhimbili Unataka Ulipe Bei gani?
Sasa mtu anataka Hospitali ya Taifa watoze Bei gani??Nimeshangaaa pia ndio maana nikakuita🤔
Ulikuwa Unataka Ulipe Kiasi gani Muhimbili MkuuHili suala linahitaji ufafanuzi hivyo kama watu wa Muhimbili wapo humu walitolee ufafanuzi kwa sababu hapo ukichanganya na gharama za dawa,consultation na vipimo inaweza kufika 200k kwa siku sasa wangapi tunaweza kumudu.
Aisee Hawa ndio madaktari wetu....assume hapo unaumwa halafu malipo changamoto then unakutana na dokta kama huyu.Sasa mtu anataka Hospitali ya Taifa watoze Bei gani??
Kama Huko.swekeni Hospitali ya Wilaya na Hospitali za Mikoa Wanatozwa 25k mpaka 30k kwa siku..
Na Huko Hospitali za Kanda wanatozwa 40k mpaka 50k..
Hiyo 50k Ni msaada tu walitakiwa kutoza Bei zaidi ya Hiyo..
Kakate Bima ya Taifa hayo hutayajua na ukiyajua wala hutalalamika!Habari zenu wakuu.
Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze nyumbani mwenyewe kwenye chumba chake cha efu arobaini kwa mwenzi.
Hizi gharama asilimia 90 ya watanzania hatuzimudu,na watakao zimudu hawatoboi mienzi hata miwili.
AminaOmba Mungu alinde afya yako.
Tafuta hela kata bima. Yuko sahihi. Hakuna cha dezo this world.Aisee Hawa ndio madaktari wetu....assume hapo unaumwa halafu malipo changamoto then unakutana na dokta kama huyu.
Nope Tatizo watu hamtaki Kuambiwa Ukweli..Aisee Hawa ndio madaktari wetu....assume hapo unaumwa halafu malipo changamoto then unakutana na dokta kama huyu.
Nimeuliza Swali hili ndugu mnyunguliSasa mtu anataka Hospitali ya Taifa watoze Bei gani??
Kama Huko.swekeni Hospitali ya Wilaya na Hospitali za Mikoa Wanatozwa 25k mpaka 30k kwa siku..
Na Huko Hospitali za Kanda wanatozwa 40k mpaka 50k..
Hiyo 50k Ni msaada tu walitakiwa kutoza Bei zaidi ya Hiyo..
NakupendaAmina
Nakuelewa sana mkuu ila umejibu kifedhuli sana,na ndio maana swali langu limejikita kwenye hospital ya taifa ambayo pia ni ya serikali ambayo ndio kimbilio la mwisho kwenye maswala ya afya za watanzania wala sijawataja regency au aghakan na remind kuwa wanaofata huduma pale alisimia kubwa kipato chao ni cha chini ambao mchango huwa unapitwa kwa ndugu na jamaa.Nope Tatizo watu hamtaki Kuambiwa Ukweli..
Hivi unajua Uendeshaji wa Hospitali Unachukua gharama Kiasi gani?
Unajua manunuzi ya Dawa yanachukua Gharama kiasi gani?
Malipo ya Vifaa tiba, Umeme, Maji na Bidhaa Vingine hospitali vinagharimu kiasi gani?
Tunapolalamika Tukumbuke Kuwa Hospitali Zinajiendesha Zenyewe na wala Hazina Ruzuku Kutoka Serikalini
Kuna daktari la JF anakuuliza muhimbili unataka ulipe bei gani?Viongozi wanafanya mambo ya hovyo.
Serikali haishindwi kufanya gharama za matibabu ziwe sawa na bure lakini viongozi hawajali kabisa.
Mkuu Ungeelewa Usingeona Kuwa Jibu langu ni la kifedhuli!Nakuelewa sana mkuu ila umejibu kifedhuli sana,na ndio maana swali langu limejikita kwenye hospital ya taifa ambayo pia ni ya serikali ambayo ndio kimbilio la mwisho kwenye maswala ya afya za watanzania wala sijawataja regency au aghakan na remind kuwa wanaofata huduma pale alisimia kubwa kipato chao ni cha chini ambao mchango huwa unapitwa kwa ndugu na jamaa.
Kiuhalisia hiyo pesa ni nyingi sana shukuru Mungu kama unaiona ndogo,serikali kukubali hili swala la walipa kodi wakamuliwe pesa hiyo sio sawa.