MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Endapo kama Habari hii ina Ukweli, Basi Muhimbili ni Hoteli ya kitalii wala siyo Hospitali tena.Habari zenu wakuu.
Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni,kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe.Hizi gharama alimia 90 ya watanzania hatuzimudu.
1.Ndio ni elfu 50,000/=Habari zenu wakuu.
Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni,kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe.Hizi gharama alimia 90 ya watanzania hatuzimudu.
Habari zenu wakuu.
Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe.
Hizi gharama asilimia 90 ya watanzania hatuzimudu.
Gentleman,Habari zenu wakuu.
Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe.
Hizi gharama asilimia 90 ya watanzania hatuzimudu.
Chakula unaletewa na ndugu yako kutoka tandae kwa tumbo.Na chakula au bila chakula?
Acha kabisa watu hawajapona wanaona bola wakajiuguze nyumbani.Endapo kama Habari hii ina Ukweli, Basi Muhimbili ni Hoteli ya kitalii wala siyo Hospitali tena.
Hongera mna uchumi mzuriNdiyo ni kweli, Nina ndugu yangu alitibiwa hapo Kam wiki mbili zilizopita, gharama ya kitanda kwa siku ni elf 50, hata nasi ilitushangaza lkn tulilipa
Kaka we shukuru Mungu uko na afya njema.Kwa watanzania au raia wa nje?