DOKEZO Ni kweli Hospitali ya Taifa Muhimbili kulala kwa siku ni gharama zake ni tsh 50,000?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hawa ndio Watanzania wasomi na wasafiri tunapata mawazo ya Kipato cha USA analinganisha na Tanzania aisee kama Nchi tuna safari ndefu sana.
 
Gharama kubwa halafu huduma mbovu.Halafu kunavichaa wanaendelea kumsifu huyo bibi Yao kuwa anaupiga mwingi.
 
Wakati huo huo Viongozi wa nchi wanatibiwa nje kwa gharama za mamilioni ya shilingi zinatokana na kodi za Watanzania maskini.
Ina maana tunakokwenda kila mtu ajijue!
 
Umeandika ujinga mtupu #4. Hiyo ni kebehi kwa binadamu
 
Wizara ya AFya, bajeti yake huwa kuwa kuhusu nn na fedha hupelekwa wapii?
 
Wizara ya AFya, bajeti yake huwa kuwa kuhusu nn na fedha hupelekwa wapii?
Hilo ni swala gumu kulijibu maana ili nilijibu lazma niwe mwanasiasa huwa mnaambiwa kila Siku msome bajeti mjue wanaweka Nini na Zinahusika na nini
 
Hapo achana na safari zake za kusafiri na kijiji cha watu nje ya nchi ambazo ni bilions of money hutumika,serikali kutumia tsh bilion 500 kwa mwaka kununua magari ya mafisadi wanajiita viongozi.

Halafu ujakaa sawa unasikia mtu mishipa ya shingo inamtoka kwenye usimba na Yanga.

Tena bila kusahau wao viongozi(kwangu mimi ni matapeli na wahuni) wakiumwa hukimbilia kutibiwa nje ya nchi kwa kodi zetu.Magufuli simkubali ila chuma kilifia mzena nchini TZ akiwa rais wa nchi.

Ikiwa huduma bora za afya ni jukumu la serikali yoyote duniani kwa wananchi wake tena iwe bure au kwa gharama ndogo sana lakini Tanzania serikali inakwepa wajibu wake,Bado unajiuliza kuna jehanamu au unakubaliana na mimi jehanamu ni Tanzania.

Nachelea kusema hii nchi tuliwakabidhi madaraka hakuna mwenye uchungu nayo wote ni wabinafsi hakuna cha TISS wala cha mahakama.

Uzi tayari.
 
"Any government is an organ of exploitation by nature."
Mikhail Bukanin
 
Watakuambia serikali sikivu ya dr wao haijafanya watu waugue,na kwamba suala la kuugulia hospitali ama nyumbani ni suala la mtu binafsi.
 
Huduma bora za afya ni wajibu na jukumu la serikali lakini Tanzania wanalikwepa hili jukumu
Kimsingi ni kweli haliwahusu kwa sababu hata wao wenyewe wakiugua hata homa ya mafua au kipandauso huwa wanaenda kutibiwa nje ya nchi kwenye nchi zilizoendelea za Ulaya, Marekani au India. Sasa kwa nini unataka watoe huduma bora za afya hapa Tanzania wakati wao wenyewe hawatibiwi kwenye hizi hospitali za hapa nchini?
 
Tatizo sio kutibiwa nje hilo kwangu halina shida tatizo wanatibiwa kwa kodi,fedha na mali umma.
 
Tatizo sio kutibiwa nje hilo kwangu halina shida tatizo wanatibiwa kwa kodi,fedha na mali umma.
Umma wenyewe umezubaa, Sasa kwa nini Wajanja wasitumie hiyo nafasi katika kujinufaisha? Siku zote wajinga ndio waliwao! Whether we like it or not, but it is a bitter truth!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…