Ni kweli Jakaya Kikwete anagombea Uenyekiti wa Kamisheni ya AU?

Halafu mkongwe huyo
 
Mmemsikia Odinga katangaza Nia mmeanza kujileta. Juzi kule Kenya wakikuyu wameanza kumlazimisha Kenyatta agombee. Very stupid
 
Kwa mujibu wa Miguna Miguna( Swahiba wa Odinga) mzee. Hana Masters degree na cheti alichonacho ni ufundi chuma alioupata huko Ujerumani.
Source:Miguna Twitter account
 
Kwa mujibu wa Miguna Miguna( Swahiba wa Odinga) mzee. Hana Masters degree na cheti alichonacho ni ufundi chuma alioupata huko Ujerumani.
Source:Miguna Twitter account
Acha uropokaji na uongo. Tangu lini Miguna akawa Swahiba wa Odinga.
 
Kwa mujibu wa Miguna Miguna( Swahiba wa Odinga) mzee. Hana Masters degree na cheti alichonacho ni ufundi chuma alioupata huko Ujerumani.
Source:Miguna Twitter account
Hii pia nimeona ndo kisa cha kuja kuuliza huku... kuna mtangazaji akasema wazi kwamba Raila hawezi mshinda JK ndo nimebaki na mshangao huyu mzee anagombea? Na kwann wanaficha?
 
Acha uropokaji na uongo. Tangu lini Miguna akawa Swahiba wa Odinga.
Miguna na Odinga ni kama Lowassa na JK...

Walikua chanda na Pete hadi Miguna kufikia kimuapisha Odinga kama Rais lakini baada ya Odinga kuungana na Uhuru kula keki akamgeuka swahiba wake wa siku nyingi kufikia Miguna kupigwa BAN kuingia Kenya.
 
Hivi kuna binadamu hawatosgeki ? Ana shida gani ? Kuna shida mahali....maana hata mke hamna kitu kichwani amelazimisha ubunge khsaa mtoto kilaza wa karne....lakini fitna na shirkii
Kuishi Ethiopia ni raha sana, Toto za kihabesh ni 🔥.
Halafu bibie mbona amekonda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…