Ni kweli Jakaya Kikwete anagombea Uenyekiti wa Kamisheni ya AU?

No no no..Compare and contraat between Odinga na Jk.
That is my concern hapo. Jk is far better.

Ujue mkuu nyie ni walalamikaji tu watanzania, hamnaga jema nyie hata m bebwe migongoni. Nyie ni pye pye pyee midomoni, nothing to show.

Achen kulalamika lalamika, na hii ndio sababu ccm watawageuza geuza wanavyotaka
 
Nyie watanzania mmekata tamaa sana. Yaani mtu anaweza mfikiria kikwete kuwa kiongozi wa maana? Hamna watu kabisa inaonekana. Anyway. Ngoja nijiandae na safari yangu nyingine baada ya kutoka Ethiopia. Muwe na uchungu na nchi zenu nyie madogo.
U r right. But as far as Jk na Odinga are compared, JK is the best
 
Hivi kuna binadamu hawatosgeki ? Ana shida gani ? Kuna shida mahali....maana hata mke hamna kitu kichwani amelazimisha ubunge khsaa mtoto kilaza wa karne....lakini fitna na shirkii
wewe mwenye akili nyingi zilizozidi ubongo mbona kazi inaishia kusema wenzako tu?

ni akili gani hizo zinazoishia kuzungumzia wengine tu badala ya kufanya la maana?
 
Nyie watanzania mmekata tamaa sana. Yaani mtu anaweza mfikiria kikwete kuwa kiongozi wa maana? Hamna watu kabisa inaonekana. Anyway. Ngoja nijiandae na safari yangu nyingine baada ya kutoka Ethiopia. Muwe na uchungu na nchi zenu nyie madogo.
Wewe chizi tu huna lolote unalojuwa zaidi ya kuropoka ropoka tu kama mwehu.
 
Mtu mzima na mwenye busara taulo likimdondoka,huchutama.
Jitahidi uwe unasoma kwa utulivu na hata kurudia mara 10 ili uelewe.
Doesn’t even add up, hiyo nafasi wanayoiongelea ni technical post. Ni sawa na katibu mkuu wa wizara.

JK yeye anachojua ni porojo za siasa sio kusimamia wataalamu; ndio kabisa hilo halipo.
 
Wewe chizi tu huna lolote unalojuwa zaidi ya kuropoka ropoka tu kama mwehu.
Tulia na mwanaume mmoja. Usiwe na tamaa. Makonda akisoma hii text si atakasirika? Shauri yako. Alikutumia nauli ya kujia Dar? Lile ombi lako la kuwa ununuliwe boda boda anakuambia njoo Dar uchukue. Dogo jiandae... Ameshanunua mafuta.
 
Africa inataka amani
Haiwezi kuwa na amani ikiwa na wanafiq na ni bora kupigana na adui ambaye mmekunjiana uso kuliko kucheka na adui anayetabasamu na kisha anakuchoma kisu nyuma. Wanafiq ni wachawi na mashetani. Hapo namkumbuka Magufuli. Alikuwa straight sana.
 
wewe mwenye akili nyingi zilizozidi ubongo mbona kazi inaishia kusema wenzako tu?

ni akili gani hizo zinazoishia kuzungumzia wengine tu badala ya kufanya la maana?
Wahi buku saba umetimiza shidt yako
 
Hahaaaaa
Bosi Rwanda inakuuma sana
 
Doesn’t even add up, hiyo nafasi wanayoiongelea ni technical post. Ni sawa na katibu mkuu wa wizara.

JK yeye anachojua ni porojo za siasa sio kusimamia wataalamu; ndio kabisa hilo halipo.
Wanaotakiwa ukiacha sifa ya kuwa na masters, anatakiwa awe amewahi ku hold Senior position ya uongozi wa nchi kama waziri kwenda juu.

Hadhi ya huyo mtu ni sawa na Rais wa nchi.
 
Hujui hiyo vita hapo congo Ina athari kubwa ya uchumi Huku EAC?? Congo ilitulia ni faida kwa nchi za ukanda wa EAC....Wacha mventwaa wafurushwe
Ni sawa kama anaenda kuleta stability Congo DRC na sio kupambana na Rwanda.
 
Punguza dharau. Unajifanya kujua mambo kumbe boya tu. Huyo Kikwete si ndio alitumia majeshi Zanzibar kuzuia Maalim asiwe Rais wa Zanzibar na kumzonga Jecha mpaka akafuta matokeo?. Si ndio huyu Kikwete aliyeshindwa kuipa Tanzania katiba mpya?. Punguza maneno mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…