Uongo mtupu,mm silambagi asali.Asali + Limao = Kifo
Sijui kama ni kweli au vipi ila nimewahi kusikia.
....Mapokeo, ambayo hayana faida ama ukweli wowote nyakati zetu hizi....Katika pitapita zangu nimekutana na hii habari, kuwa kuna vyakula/vinywaji hutakiwi kula kwa wakati mmoja. Yaani "mfano" ule yai wakati huo huo ule ndizi utakufa.
Je ni kweli na kama kweli vipo? Msaada wa kuvitaja
...mmmm, labda kulila wakati uleule ninapokula asali lakini Mimi ninalamna asali kijiko kimoja kila asubuhi na wakati was kulala na mchana no lazima nitafune Tango moja bila kulimenya....sijawahi kupata effect yoyote zaidi afya kuimarika tu.Kuna nyingine niliambiwa eti, eti, Tango na Asali unavuta, sasa sijui kuna ukweli hapo?
Sio kweliasal peke yake sio sumu ila jaribu kuchanganya na limao af uone
Kakaa!!!,Ulimnyalukolo?Vudesi kabisa uvu!
Kwani inazuiwa mkuu? Unapiga tuHata kama ni kweli mkuu sasa ukumbwe na nini hadi uchanganye soda na fenesii
Kakaa!!!,Ulimnyalukolo?
Sio kweli aisee au ni keki ya aina gani hiyoCoca cola + keki=unazima kwa kulewa
Sio half cake,namaanisha keki yenyewSio kweli aisee au ni keki ya aina gani hiyo
Mkuu, Nikiila na nikasindikiza na coca cola nitazimika?Sio half cake,namaanisha keki yenyew
We nawe unaambiwa asali na limao, we unaleta hadithi za kijiko cha sukari. Wapi na wapi?Uongo mtupu,mm silambagi asali.
Wakati wa fasting napenda kutumia kijiko kimoja cha sukari nakamulia na ndimu au limao kwny maji moto kikombe kimoja cha chai,nakunywa.Nakuwa fit whole day.
Kuna faida nyingi mwilini kuliko uzushi.
Asali na ndimu/limao mbona tunatumia sana kwa ajili ya kutoa/kupunguza sumu mwilini (detoxification of the body).We nawe unaambiwa asali na limao, we unaleta hadithi za kijiko cha sukari. Wapi na wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Coca cola + keki=unazima kwa kulewa
Kuna dada mmoja(Muhindi) ni daktari, niliwahi kumuuliza muhusiana na swala hili, majibu aliyonipa ni kwamba sio vizuri kuchanganya hivyo vitu kwa vile mchanganyiko huo una virutubisho vingi ambavyo matokeo yake utakusababishia unene.kama ndo hivo mbona nimgeshakufwa siku mingi, btw mayai Ya kuchemsha ndizi na maziwa ndo chakula changu kila siku asubuhi.
Viagra + Redbull.Katika pitapita zangu nimekutana na hii habari, kuwa kuna vyakula/vinywaji hutakiwi kula kwa wakati mmoja. Yaani "mfano" ule yai wakati huo huo ule ndizi utakufa.
Je ni kweli na kama kweli vipo? Msaada wa kuvitaja
Sijamaanisha ulivyoelewa..We nawe unaambiwa asali na limao, we unaleta hadithi za kijiko cha sukari. Wapi na wapi?