Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Asali + Limao = Kifo
Sijui kama ni kweli au vipi ila nimewahi kusikia.
Uongo mtupu,mm silambagi asali.
Wakati wa fasting napenda kutumia kijiko kimoja cha sukari nakamulia na ndimu au limao kwny maji moto kikombe kimoja cha chai,nakunywa.Nakuwa fit whole day.

Kuna faida nyingi mwilini kuliko uzushi.
 
Katika pitapita zangu nimekutana na hii habari, kuwa kuna vyakula/vinywaji hutakiwi kula kwa wakati mmoja. Yaani "mfano" ule yai wakati huo huo ule ndizi utakufa.

Je ni kweli na kama kweli vipo? Msaada wa kuvitaja
....Mapokeo, ambayo hayana faida ama ukweli wowote nyakati zetu hizi....
 
Kuna nyingine niliambiwa eti, eti, Tango na Asali unavuta, sasa sijui kuna ukweli hapo?
...mmmm, labda kulila wakati uleule ninapokula asali lakini Mimi ninalamna asali kijiko kimoja kila asubuhi na wakati was kulala na mchana no lazima nitafune Tango moja bila kulimenya....sijawahi kupata effect yoyote zaidi afya kuimarika tu.
Hayo no mapokeo tu. Pigs Tango lako na Asali yako kwa afya njema ya Mwili wako.
 
asal peke yake sio sumu ila jaribu kuchanganya na limao af uone
Sio kweli
Kuna dawa ya kienyeji ya kifua au kikohozi nzuri sana kwa watoto na watu wazima
Unachukua asali kijiko 1
Limao au ndimu 1 au nusu inategemea unatengeneza kwa wingi gani
Tangawizi unachanganya,tumia asububi, mchana na jioni,kifua/kikohozi kwisha kabisaaa.
Km ni sumu watoto wangu ningekwisha zika mana dawa za dukani zikizungua nawatengenezea huo mchanganyiko.
 
Magadi na ndimu na asali vile ukichanganya inavyochemka basi tukaambiwa ikifika tumboni mwendo ndo huohuo!
 
Uongo mtupu,mm silambagi asali.
Wakati wa fasting napenda kutumia kijiko kimoja cha sukari nakamulia na ndimu au limao kwny maji moto kikombe kimoja cha chai,nakunywa.Nakuwa fit whole day.

Kuna faida nyingi mwilini kuliko uzushi.
We nawe unaambiwa asali na limao, we unaleta hadithi za kijiko cha sukari. Wapi na wapi?
 
kama ndo hivo mbona nimgeshakufwa siku mingi, btw mayai Ya kuchemsha ndizi na maziwa ndo chakula changu kila siku asubuhi.
Kuna dada mmoja(Muhindi) ni daktari, niliwahi kumuuliza muhusiana na swala hili, majibu aliyonipa ni kwamba sio vizuri kuchanganya hivyo vitu kwa vile mchanganyiko huo una virutubisho vingi ambavyo matokeo yake utakusababishia unene.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Katika pitapita zangu nimekutana na hii habari, kuwa kuna vyakula/vinywaji hutakiwi kula kwa wakati mmoja. Yaani "mfano" ule yai wakati huo huo ule ndizi utakufa.

Je ni kweli na kama kweli vipo? Msaada wa kuvitaja
Viagra + Redbull.
 
We nawe unaambiwa asali na limao, we unaleta hadithi za kijiko cha sukari. Wapi na wapi?
Sijamaanisha ulivyoelewa..
Ni typing error imeleta maana tofauti.

Kijiko kimoja cha asali+ndimu nakoroga na kunywa.
Sukari haihusiki.
 
Back
Top Bottom