Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Helufi ya kwanza na zamwisho mbili ni kubwa ha ha haaa.

Ajabu sipatagi menshen ila hii imefika hivyo koseaga tu
Mara nyingi herufi kubwa au ndogo huwa haijalishi...au ndio Jf mupya. Uko wapi sasa na mimi nije
 
...kumfi.ra demu bila condom mbaya sana....usijaribu.....jimboro laweza kupata minyoo....haswa pale unapochubuka....hii imemtokea mdau.....ni shida!!!!
 
Mara nyingi herufi kubwa au ndogo huwa haijalishi...au ndio Jf mupya. Uko wapi sasa na mimi nije
Ohoo basi kuna kingine umekosea.

Hapa napasha mwili joto huku nikisubili vitu vyangu njoo Escap 1 saa tano kuna bambataa
 
Wanyama wala majani hawali majani wawapo na mimba!!!!!!!!
Wanakula nini mkuu?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mwenyewe asali imenishinda
Yani nimejiamisha haina adui katika walaji wake dah kwa hiyo ukiulizwa tam kama asali unamshangaa muulizaji eeh?

Usiku wa manane
 
Aiseeh jf members mbona masihara yamezdi
Ukweli hapo ni tango na asali tu
Ndo unaondoka
Kingine labda dawa Kali na pombe kali
 
Ukitaka noma tafuna dagaa wa mwanza bila kupikwa mix na karanga mbichi jibu lake utalipata chooni.
 
Yai/ndizi la aina(vilivyopikwa vipi/bichi/mbivu) gani? Nakula sana ya kukaanga na ndizi tunda.
 
Mimi niliambiwa ukinywa supu na chapati tunakusahau sijawahi gusa hiyo kitu maishani.
Supu na chapati ni kufungua kinywa cha wengi katika migahawa asubuhi kabla ya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…