Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Madaktari ni rahisi kuwajua humu JF
 
Kuna nyingine niliambiwa eti, eti, Tango na Asali unavuta, sasa sijui kuna ukweli hapo?
Sio kweli, napenda matango na asali, kawaida napenda sliced tango na maganda yake nachanganya na asali nakula, pia hata watoto wakiona nakula nao husogea.
 
Ila juzi nikiwa safarini, asubuhi hotelini waliandaa breakfast ya mayai ya kukaanga na viazi, na tunda lilikuwa tikiti, kwa kweli, haikuwa nzuri, Nilikuwa kikaoni lakini kila dakika ni kwenda chooni. Ilikuwa mbaya sana.
 
wakuu leo asubuh nimekula chapati tatu, mayai ya kukaanga matatu...chai ya rangi...maharage...baada ya kumaliza vyote...nikashushia na pepsi ya baridi.....kilichofuata ni kama nimepangisha chooni....hali yangu sio nzur kwa kweli...
.....ulisahau parachichi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…