Kama ulikuwa mdogo sawa.Zilikua story tu, wazazi walikua wanatuambia Kuna wachunangozi kutoka Mererani sijui mbuguni Ili tusiende kucheza mbali na home
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.Kama ulikuwa mdogo sawa.
Ila ni kweli.kipindi kile ITV taarifa ya habari walikuwa wanaonesha LIVE LIVE MTU KAVULIWA NGOZI.
na kipindi kile hata ajali walikuwa wanaonesha watu jinsi walivyovunjika vunjika
Muhammad mwenyewe hakuwa dhehebu lolote.Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.
Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
Tena hayo matukio yalikuwa yanatokea sana mkoani Mbeya.Kama ulikuwa mdogo sawa.
Ila ni kweli.kipindi kile ITV taarifa ya habari walikuwa wanaonesha LIVE LIVE MTU KAVULIWA NGOZI.
na kipindi kile hata ajali walikuwa wanaonesha watu jinsi walivyovunjika vunjika
Ilikuwa kweli. Yalitokea kule Mbozi iliyokuwa mkoa wa Mbeya wakati ule, kwa sasa ni Mkoa wa SongweMiaka ya tisini nilikuwa nasikia sana stori za uchunaji ngozi maeneo mbalimbali ya nchi, stori zenyewe zilikuwa za kutisha sana kwamba watu wanamkamata mtu hasa watoto wadogo wanawachoma sindano fulani ngozi yote inaumuka kisha wanaichana na kuivua tu.
Hizi story za uvunaji ngozi ya binadamu zilikuwa ni matukio halisi ya ukweli au ni story za uzushi tu uliokuwa unavuma kutoka pande moja ya nchi kwenda nyingine(urban myth) ?
ilikuwa kwasababu za kishirikina ama nini?Kama ulikuwa mdogo sawa.
Ila ni kweli.kipindi kile ITV taarifa ya habari walikuwa wanaonesha LIVE LIVE MTU KAVULIWA NGOZI.
na kipindi kile hata ajali walikuwa wanaonesha watu jinsi walivyovunjika vunjika
ChoiceVariable wazee wako wanasemaje?Waulize watu wa Mbeya
Uko sahihi mwaka 2015 nilimtembelea best friend pande zile na ilikuwa Vvawa makao makuu ya mkoa wa songwe nilioneshwa hadi sehemu ambazo miili iliokotwa Yaaani hadi mwili ulisisimkaIlikuwa kweli. Yalitokea kule Mbozi iliyokuwa mkoa wa Mbeya wakati ule, kwa sasa ni Mkoa waSongwe
Shekhe huyo imamu wako naye alichunwa ngozi au?Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.
Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.