Ni kweli kuna wakati kulikuwa na wachuna ngozi za binadamu nchi hii?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Miaka ya tisini nilikuwa nasikia sana stori za uchunaji ngozi maeneo mbalimbali ya nchi, stori zenyewe zilikuwa za kutisha sana kwamba watu wanamkamata mtu hasa watoto wadogo wanawachoma sindano fulani ngozi yote inaumuka kisha wanaichana na kuivua tu.

Hizi story za uvunaji ngozi ya binadamu zilikuwa ni matukio halisi ya ukweli au ni story za uzushi tu uliokuwa unavuma kutoka pande moja ya nchi kwenda nyingine(urban myth) ?
 
Nadhani zilikuwa story tu, kuna kipindi tukiwa watoto tukaskia kuna watu wanateka wanaume na kukata Maumbile yao eti wanaenda kutegea samaki flqni hivi walikuwa na autajiri ukiwapata😂
 
Zilikua story tu, wazazi walikua wanatuambia Kuna wachunangozi kutoka Mererani sijui mbuguni Ili tusiende kucheza mbali na home
Kama ulikuwa mdogo sawa.
Ila ni kweli.kipindi kile ITV taarifa ya habari walikuwa wanaonesha LIVE LIVE MTU KAVULIWA NGOZI.
na kipindi kile hata ajali walikuwa wanaonesha watu jinsi walivyovunjika vunjika
 
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.

Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
 
Muhammad mwenyewe hakuwa dhehebu lolote.
Hata Mimi Sina DHEHEBU.kwenye uislam Mimi ni muislam.hao wanaopingana Wana yao
 
Miaka ya tisini nilikuwa nasikia sana stori za uchunaji ngozi maeneo mbalimbali ya nchi, stori zenyewe zilikuwa za kutisha sana kwamba watu wanamkamata mtu hasa watoto wadogo wanawachoma sindano fulani ngozi yote inaumuka kisha wanaichana na kuivua tu.

Hizi story za uvunaji ngozi ya binadamu zilikuwa ni matukio halisi ya ukweli au ni story za uzushi tu uliokuwa unavuma kutoka pande moja ya nchi kwenda nyingine(urban myth) ?
Ilikuwa kweli. Yalitokea kule Mbozi iliyokuwa mkoa wa Mbeya wakati ule, kwa sasa ni Mkoa wa Songwe
 
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.

Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
Shekhe huyo imamu wako naye alichunwa ngozi au?
 
Back
Top Bottom