Watoto halali au haramu?Kwanza Diamond asingeweza kuperform kwenye Fiesta kwasababu ya mkataba wake na Vodacom. Wakati Fiesta imedhaminiwa na Tigo.
Eatv awards mwanamziki mwenyewe ndio alipewa ruhusa ya kupeleka kazi yake na jina lake na sio mashabiki wala timu ya Eatv. Kwahiyo inaonyesha Diamond akupeleka kazi yake na jina lake ili awe kwenye list ya wanaoshindania hizo tuzo.
Na ata hivyo sioni sababu ya Diamond kumuogopa Ali Kiba kwasababu kamzidi kwa kila kitu. Level ya kimuziki,tuzo,utajiri,mashabiki,ngoma kali.
Ali Kiba kamshinda Diamond kwa kuwa na watoto wa3 tu.
Biashara ni makubaliano so siyo lazima kila deal ku-sign.Umejibu kishabiki.......kuhusu tigo kudhamin fiesta hiyo hoja haina mashiko mbona kesho anaenda kufanya show zanzibar iliyozaminiwa na cjui halotel.....ukweli jamaa ashaanza kuwa muoga
You are so brave aseeeeee.Hongera sana kwa kujitambua.Diamond juzi kwenye interview na sky wa bongo 5 alisema wazi anafocus kupeleka mziki wake mbele zaidi kuusambaza afrika nzima , ulaya na marekani hayo ndo malengo yake.
Akasema makelele ya nyumbani na kujionyesha mimi mkali kuliko fulani hayasaidii kukuza msiki wetu. Na akawasifia Navy kenzo na Vanessa mdee kwa kufocus kuufikisha mziki wao mbali
Sasa mtu kashashinda tuzo za Mtv mama, mtv world act , afrima, na afrimma kwa Africa amebakiza BET aanze kupigizana kelele kwenye Eatv awards? Haileti maaana
Diamond anaziara africa na UK
Zimbabwe , Zambia, Mayotte, Kenya, na show ya DSM , tour yake na NEYO huko UK kwenda kufafuta soka jipya mnataka aanze kupigizana kelele kwenye Fiesta ? Alafu ikiisha fiesta then kinafuata nini? Mziki haukui zaidi ya kelele na matusi mtandani.
Mwacheni Diamond afikishe mziki wake anapotaka haya makelele ya Tanzania yameshapitwa na wakati
Kwa ukubwa na Diamond kwa sasa inatakiwa Wizkid akija fiesta tanzania , basi Diamond anaenda fiesta ya Zambia au Ghana
Davido akija fiesta Tanzania , alikiba awe na uwezo na yeye kwenda angalau Fiesta ya Uganda ndo mziki wetu utakuwa
Sio wanakuja fiesta wizikid na Davido alafu diamond ma alikiba wanakuwa wasindikiza kelele tupu alafu tuseme ni wasanii wakubwa africa
WHO IS ALIKIBA....??? wewe Sikia ALIKIBA anauchu na Tuzo ndo maana ALIJIPENDEKEZA....FIESTA mkataba wa Diamond upo waziii,Pili Fiesta haikuwa na Hela ya kumlipa Diamond,ndo Maana Alijaza Mashabiki Nigeria kama yupo Tanzania......Show za FIESTA NI level ya kina Rayvanny na Harmonize sio DIAMOND SHOW hela Laki 2 Diamond na Band ile mtawalipa nini????Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????
Mapovu yanaruhusiwa
Huo ndio ukweli kiongoziDiamond akiacha mziki hata leo ndo utakuwa mwisho wa kiba..
www lodilofa una smat kaz kupigia picha za uchi,kisa cha mondi kutokwenda fiesta xo kiba n mkataba wa voda unambana na fiesta tigo ndo walichukua deal!Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????
Mapovu yanaruhusiwa
acha usenge kwahyo unataka tukanushe kua mond anamuogipa ali team kibakuli mtakua lin??Hiyo hoja yako haina mashiko
Vip mtu wangu upo????Kaamua kumuachia mzee wa kulia lia ili asije pata sababu ya kulalamikia kama kawaida yake.
Hehe...Umejibu kishabiki.......kuhusu tigo kudhamin fiesta hiyo hoja haina mashiko mbona kesho anaenda kufanya show zanzibar iliyozaminiwa na cjui halotel.....ukweli jamaa ashaanza kuwa muoga
Vice versa is true[emoji2]kiba akiacha muziki mond anapotea ana hit kupitia mgongo wa kiba