Diamond juzi kwenye interview na sky wa bongo 5 alisema wazi anafocus kupeleka mziki wake mbele zaidi kuusambaza afrika nzima , ulaya na marekani hayo ndo malengo yake.
Akasema makelele ya nyumbani na kujionyesha mimi mkali kuliko fulani hayasaidii kukuza msiki wetu. Na akawasifia Navy kenzo na Vanessa mdee kwa kufocus kuufikisha mziki wao mbali
Sasa mtu kashashinda tuzo za Mtv mama, mtv world act , afrima, na afrimma kwa Africa amebakiza BET aanze kupigizana kelele kwenye Eatv awards? Haileti maaana
Diamond anaziara africa na UK
Zimbabwe , Zambia, Mayotte, Kenya, na show ya DSM , tour yake na NEYO huko UK kwenda kufafuta soka jipya mnataka aanze kupigizana kelele kwenye Fiesta ? Alafu ikiisha fiesta then kinafuata nini? Mziki haukui zaidi ya kelele na matusi mtandani.
Mwacheni Diamond afikishe mziki wake anapotaka haya makelele ya Tanzania yameshapitwa na wakati
Kwa ukubwa na Diamond kwa sasa inatakiwa Wizkid akija fiesta tanzania , basi Diamond anaenda fiesta ya Zambia au Ghana
Davido akija fiesta Tanzania , alikiba awe na uwezo na yeye kwenda angalau Fiesta ya Uganda ndo mziki wetu utakuwa
Sio wanakuja fiesta wizikid na Davido alafu diamond ma alikiba wanakuwa wasindikiza kelele tupu alafu tuseme ni wasanii wakubwa africa