Ni kweli kuwa Diamond anamuogopa King Kiba???

Ni kweli kuwa Diamond anamuogopa King Kiba???

Status
Not open for further replies.
Kwanza Diamond asingeweza kuperform kwenye Fiesta kwasababu ya mkataba wake na Vodacom. Wakati Fiesta imedhaminiwa na Tigo.
Eatv awards mwanamziki mwenyewe ndio alipewa ruhusa ya kupeleka kazi yake na jina lake na sio mashabiki wala timu ya Eatv. Kwahiyo inaonyesha Diamond akupeleka kazi yake na jina lake ili awe kwenye list ya wanaoshindania hizo tuzo.

Na ata hivyo sioni sababu ya Diamond kumuogopa Ali Kiba kwasababu kamzidi kwa kila kitu. Level ya kimuziki,tuzo,utajiri,mashabiki,ngoma kali.
Ali Kiba kamshinda Diamond kwa kuwa na watoto wa3 tu.
Watoto halali au haramu?
 
Umejibu kishabiki.......kuhusu tigo kudhamin fiesta hiyo hoja haina mashiko mbona kesho anaenda kufanya show zanzibar iliyozaminiwa na cjui halotel.....ukweli jamaa ashaanza kuwa muoga
Biashara ni makubaliano so siyo lazima kila deal ku-sign.
 
Diamond juzi kwenye interview na sky wa bongo 5 alisema wazi anafocus kupeleka mziki wake mbele zaidi kuusambaza afrika nzima , ulaya na marekani hayo ndo malengo yake.
Akasema makelele ya nyumbani na kujionyesha mimi mkali kuliko fulani hayasaidii kukuza msiki wetu. Na akawasifia Navy kenzo na Vanessa mdee kwa kufocus kuufikisha mziki wao mbali
Sasa mtu kashashinda tuzo za Mtv mama, mtv world act , afrima, na afrimma kwa Africa amebakiza BET aanze kupigizana kelele kwenye Eatv awards? Haileti maaana
Diamond anaziara africa na UK
Zimbabwe , Zambia, Mayotte, Kenya, na show ya DSM , tour yake na NEYO huko UK kwenda kufafuta soka jipya mnataka aanze kupigizana kelele kwenye Fiesta ? Alafu ikiisha fiesta then kinafuata nini? Mziki haukui zaidi ya kelele na matusi mtandani.
Mwacheni Diamond afikishe mziki wake anapotaka haya makelele ya Tanzania yameshapitwa na wakati
Kwa ukubwa na Diamond kwa sasa inatakiwa Wizkid akija fiesta tanzania , basi Diamond anaenda fiesta ya Zambia au Ghana
Davido akija fiesta Tanzania , alikiba awe na uwezo na yeye kwenda angalau Fiesta ya Uganda ndo mziki wetu utakuwa
Sio wanakuja fiesta wizikid na Davido alafu diamond ma alikiba wanakuwa wasindikiza kelele tupu alafu tuseme ni wasanii wakubwa africa
You are so brave aseeeeee.Hongera sana kwa kujitambua.
 
Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????

Mapovu yanaruhusiwa
WHO IS ALIKIBA....??? wewe Sikia ALIKIBA anauchu na Tuzo ndo maana ALIJIPENDEKEZA....FIESTA mkataba wa Diamond upo waziii,Pili Fiesta haikuwa na Hela ya kumlipa Diamond,ndo Maana Alijaza Mashabiki Nigeria kama yupo Tanzania......Show za FIESTA NI level ya kina Rayvanny na Harmonize sio DIAMOND SHOW hela Laki 2 Diamond na Band ile mtawalipa nini????

Alikiba aNa kitu gani cha kuogopwaa watoto wengi kuwa nao ndo aogopwe au? Kwa vile anaishi k/koo kwenye nyumba ya kupanga ndo aogopwee???

Alikiba Mashabiki wake Mnaaumia sanaaa Kiuhalisiaaa msanii wenu badooo....Agopwe kisaaa Kingereza hajui anajua tuu you know au? Aogopwe kisaa alikuwa anachekwa kwenye interview au aogopewe nini? Aogopwe kisa hajawahi kuwa nominated BET au aogopwe na nini???? Aogopwe kisaaa KANYE WEST hamjui au agopewe nini.....

Msanii hata Burundi hawamjui aogopewe nini??? Alikiba wakugombea Tuzo na SHETTA mtoto wa juzi huyu???? Alikiba hata YOUTUBE hawamtambui ataogopewa na nini
 
Jamani kwenye ukweli semeni ukweli Ali kiba na Diamond hawafanani na mashabiki wanataka kulazimisha ....Ali Kiba ajipange kimziki ili aweze kumfikia Diamond akikaa awasikilize mashabiki wake wanamlostisha ...Diamond keshapiga hatua sana....next level
 
Wamemaliza kumtukana WizKid ndio wamehamia JF, haya mambo mengine bhana!!!
 
Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????

Mapovu yanaruhusiwa
www lodilofa una smat kaz kupigia picha za uchi,kisa cha mondi kutokwenda fiesta xo kiba n mkataba wa voda unambana na fiesta tigo ndo walichukua deal!
 
Umejibu kishabiki.......kuhusu tigo kudhamin fiesta hiyo hoja haina mashiko mbona kesho anaenda kufanya show zanzibar iliyozaminiwa na cjui halotel.....ukweli jamaa ashaanza kuwa muoga
Hehe...
Watu wengine bhana...
Unauliza swali alafu unajijibu mwenyewe...
Basi hakukua na haja ya wewe kuuliza swali...
Ungeandika tu kwa herufi kubwa,kwamba DIAMOND ANAMUOGOPA ALI KIBA...
Be straight..!
 
Like u care! Yaani mtu akitaka kutrend anaanzisha hoja ya Diamond na Kiba. HAMCHOKI?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom