Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
- Thread starter
- #81
Hapo kwenye mwanaume kujua ndo kazi ipo.Sasa unaoa mke kakandwa na wanaume 5+ unategemea atulie na wewe kweli? Amezoea kubadilisha ladha, ngumu sana kuwa mwaminifu kwako tu.
Binafsi SI Unit yangu ni <5, ikishakuwa >=5 naona kazi ni ya wote🤣
Na hivi siku hizi wanauza hadi vipipi 😁😁😁😁