Niko Zanzibar kutafuta namna ya kuufanya mkono uende kinywani. Katika stori mbili tatu mwenyeji wangu kagusia kuwa Shaka ni mpwa wa rais Samia.
Nimestushwa sana na hiyo kitu ambayo mwenyeji wangu ananiambia kuwa kwa hapa Zanzibar inajulikwna na kila mtu.
Hebu ndugu wadau nijuzeni. Habari hii nanyi mnayo? Mbona hamuisemi? Ina afya kwa chama na taifa? Kwann haikemewi ndani na nje ya chama? Kwann tunaruhusu nepotism hii?
Jiwe alimuweka mpwa wake kuwa paymaster general. Tukapiga kelele kwa pamoja japo hatukufanikiwa kuzibua masikio ya yule bwana. Sasa mbona huyu mama mwamnyamazia ?
NYONGEZA........,................
Nepotism ni mbaya, inaudhi wengi na inaminya haki na fursa za walio wengi. Alipofariki Rais Magufuli wapwa zake Hery James (alikuwa paymaster general) na Dotto James (alikuwa mwenyekiti UVCCM) walifukuzwa kwenye nyadhifa zao nyeti na kupewa vyeo vya kufutia machozi. Nikadhani wanaccm mmejifunza. Sasa mbona mnarudia makosa?