Huduma Pendwa
Member
- Apr 21, 2023
- 53
- 172
Mkuu, mtoa mada amejieleza vizuri tuu, ya kwamba, kwa mujibu wa Baraza la Madaktari la Tanganyika (MCT) na Duniani kwa ujumla, ili uwe Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, ni lazima usome kwanza Masters of Medicine (Mmed) in Internal Medicine kisha ndo usome mambo ya Moyo.Ila
Hiyo cardiology ni political science? Waalimu mna tabu sana
Kwenye CV ya Prof, hakuna mahali panaonyesha Prof amesoma Mmed in Internal Medicine. Masters pekee iliyopo ni Masters of Science (MSc) in Tropical Health. Na ndiyo maana anasema Prof siyo Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo.
Itapendeza kwa uelewa wako, ukipinga Hoja ya Mleta mada kwa kuonyesha ni kwa namna gani Fellowship ya Moyo inamfanya Prof kuwa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo.
Tupunguze mihemuko. Tujadili Hoja kwa Nguvu ya Hoja na siyo Hoja ya Nguvu.