Azania BankSio kweli nini sasa?!Benki gani hiyo ambayo inafanya hivyo? Kama unakopa kupitia mshahara lazima mshahara upitie benki husika.
Sijawahi ona benki ambayo chanzo kikuu cha marejesho ya mkopo ni mshahara alafu wakakubali kutoa mkopo ili hali mshahara wako uko benki A, alafu watarajie wewe ukichukiwa mshahara ndo upeleke marejesho kwao, kwa hela ipi? hii mishahara ya wafanyakazi wa TZ ambao kabla ya kupokea mshahara ulishatumika akilini na kukopa tena. Ni lazima mshahara upitie kwao wachukuwe cha kwao kwanza alafu kinachobaki ndo ukapambane na hali yakoSi kweli. Kachukue tu rafiki mpunga.
Siyo lazima mshahara upitie kwao.
Hapana CRDB mbona hawana sharti hilo... Sio lazima mshahara upitie kwao ndio ukopeHuo ni udikteta uchwara, sasa kila benk ikifanya hivyo hali itakuwaje? Bure kabisa
Siyo kweli nenda Bank kakope CRDBHili suala nimelisikia sehemu ndugu zangu wanajamii forum kwa mnaojua ukweli wa suala hili Basi mtujuze tusiojua vizuri.
Mm nina mkopo crdb na mshahara wangu unapitia NMBHili suala nimelisikia sehemu ndugu zangu wanajamii forum kwa mnaojua ukweli wa suala hili Basi mtujuze tusiojua vizuri.
Huelewi kitu,sijui kwa sekta binafsi ils kwa serikalini tunakopa tu,mm nilikopa CRDB na mshahra unapitia NMB,mwajiri wangu anawajibika kupeleka makato tuHakuna bank itakupa mkopo kama mshahara haupiti kwao
crdb insurance na processing fee wanakata hela nyingi sana aiseeCRDB wajinga sana kwanza mkopo wako unachukua muda mrefu sana utapitia hadi kwa mwanasheria...
CRDB ktk mkopo watakao kupa wanakata Processing Fee kubwa sana...
Mfano NMB wakikupa mkopo wa 1m basi watakata laki 1 wakat CRDB watakukata laki 2. Pia kama NMB watakupa laki9 basi CRDB watakupa laki7.8 japo makato ya kila mwezi yatafanana kwa wote ktk kipindi chote cha mkopo...
mkuu CRDB wanafanya hivyo kwa sasa ni lazima mshahara wako upitie kwao. Nimeshuhudia watumishi wamejaza fomu na kusainisha Halmashauri na mwisho wa yote kipengele cha kuhamisha mshahara kinatibua mipango yoteSio kweli nini sasa?!Benki gani hiyo ambayo inafanya hivyo? Kama unakopa kupitia mshahara lazima mshahara upitie benki husika.
Ni current issue iyo mkuu nafikiri wameikomaria sana kuanzia April na May. Wanakataa kabsaa kutoa mkopoHapana CRDB mbona hawana sharti hilo... Sio lazima mshahara upitie kwao ndio ukope
Sio siku hizi tu, hii ni kitambo tu na ni kwa benki zote kama mkopo ni kupitia mshahara.Ni current issue iyo mkuu nafikiri wameikomaria sana kuanzia April na May. Wanakataa kabsaa kutoa mkopo
Hiki wanachokileta CRDB ni kilio kwa wateja wao, haiwezekni ulazimeshe mkopo upitie CRDB. Ni aibu sana
Si kweli. Kachukue tu rafiki mpunga.
Siyo lazima mshahara upitie kwao.
Si kweli. Kachukue tu rafiki mpunga.
Siyo lazima mshahara upitie kwao.
Huo ni udikteta uchwara, sasa kila benk ikifanya hivyo hali itakuwaje? Bure kabisa