Pre GE2025 Ni kweli Lissu anataka kumng'oa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu na ule mtumbo wake anafaa kwa lipi?
 
50% ya wanachama awakumuunga mkono Lissu. Atafukuza wote awa?
 
Hayo maneno ya Ngurumo unayahakiki vipi?
Mjamaa alikuwa na chuki kubwa sana na Lissu mara tu baada ya Lissu kutangaza anawania uwenyekiti wa chama.

Sasa maneno kama haya kutoka kwa mtu mwenye chuki za wazi wazi na Lisuu yanawachanganyaje?
 
Team lisu hatuna presha.team fisadi kubali asali imeisha zoea kujitegemea sio kuishi kama kunguni.
 
Team lisu hatuna presha.team fisadi kubali asali imeisha zoea kujitegemea sio kuishi kama kunguni.
We Mzee wasira umri umesonga, achia vijana wafanye kazi.... kazi na umri.
 
Narudia tena, ni suala la muda tu kabla ya mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo!!!
 
Mwenyekiti wa chama lazima azungukwe na watu alio comfortable kufanya nao kazi katika ngazi zote.
 
Mwenyekiti wa chama lazima azungukwe na watu alio comfortable kufanya nao kazi katika ngazi zote.
hata kama hawakuchaguliwa? Ni sawa na serikali ya kidikteta inaposema haitaki kuungukwa na wapinzani
 
Huu ni umbea wa like tu kwani katiba inaweka wazi namna ambavyo viongozi wanatolewa.
 
Huyo Ngurumo ni team Mbowe, bado ana vidonda, hawezi kumuongelea vizuri Lisu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…