Pre GE2025 Ni kweli Lissu anataka kumng'oa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu ni mtu wa kukurupuka anataka kupigiwa magoti na kila kiongozi ndani ya CDM.
 
Kukanusha ni kusema hii habari si ya kweli, ni ya uongo.

Mimi sijasema hivyo.

Nimesema hii habari haijahakikiwa.

Unaelewa tofauti?

Nimekwambia uhakiki wa kimantiki wa sources zaidi ya moja, huu si wa Kiranga.

Kwa nini unapenda ubishi kwenye jambo lililo na objective standard?

This is a simple matter of objectivity and verification.

Why are you making this about Kiranga?

That is ad hominem fallacy.

Do you know and care about verification?

Or are you one of those fake news spreaders who are here to push a certain narrative regardless of thefacts?
 
Mjamaa alikuwa na chuki kubwa sana na Lissu mara tu baada ya Lissu kutangaza anawania uwenyekiti wa chama.

Sasa maneno kama haya kutoka kwa mtu mwenye chuki za wazi wazi na Lisuu wanawachanganyaje?
Halafu mwenyewe anajiona ana uwezo mkubwa sana wa kuwachota watu.
 
Hayo maneno ya Ngurumo unayahakiki vipi?
Hivi Ngurumo bado anafanya Nini Ughaibuni,mbona wenzake walirudi! Nimeanza kumfuatilia hivi karibuni naona kam amepagawa...yaelekea alikuwa kunguni wa Mbowe!
 
Hivi Ngurumo bado anafanya Nini Ughaibuni,mbona wenzake walirudi! Nimeanza kumfuatilia hivi karibuni naona kam amepagawa...yaelekea alikuwa kunguni wa Mbowe!
Ngurumo kama muandishi wa habari alitakiwa kumtafuta Lissu, kumsikiliza anasemaje, na kuripoti upande wake pia.

Anajua hayo yote. Yeye ni muandishi wa habari.

Lakini, inaonekana ana ajenda yake.
 
Si kweli.
Over
 
Aliyetupa hatari ni Ngurumo ameitoa kwa chanzo chake ambacho kilikuwa sehemu ya tukio.

Lakini habari hii ni fake mpaka Kiranga atumie mbinu zake za uhakiki. Sawa tunasubiri uhakiki.
 
Huu ni ushahidi moja kwa moja kuwa alikuwa hamtaki.Sharifa
 
Muda ni hakim mzuri, ila Lissu hajawahi kuwa kiongozi mzuri. CDM ijiandae kwa mengi.
 
Ngrumo anampenda Mbowe zaidi kuliko CHADEMA.

Kama Sharifa aliingia kwa mizengwe na kuvunja haki, uchaguzi urudiwe tu, kwani shida nini?

Tena ikibidi uchaguzi urudiwe kanda zote na kote ambako mizengwe ilifanyika.
 
Kama ana uwezo mdogo atolewe tuu.
Kale kamama kaliposhinda kakawahi kusema kanamuunga mkono mbowe tena kwa mbwembwe na msimamo wake ni huo hakamuungi mkono lissu hata kidogo sasa mtu km huyo unafanyaje nae kazi si bora awekwe pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…