Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #21
Uteuzi wa kitu Gani??Chawa kakosa hoja,sawa
Utachelewa sana uteuzi chawa kisa huna hoja
And this is the one of tangible issue!!Wewe ni wakili linda heshima yako njoo na vitu tangible
Mimi ni bush Lawyer bwana siyo Learned brother!!Wewe ni wakili linda heshima yako njoo na vitu tangible
HahahMimi ni bush Lawyer bwana siyo Learned brother!!
Kwa 400 tons of Gold kutoroshwa keenda UAE sidhani kama wanajaliTuna mengi sana nchini ya kujadili sio personality na ugomvi was watu!
Kwamfano!
"Wakati wanajeshi wakilinda mipaka ya nchi yetu,wanasiasa walipaswa kulinda rasilimali za nchi yetu,je ulinzi wa rasilimali zetu unaridhisha!!!?
Wewe tulikuwa tunawaambia Mbowe ndio tatizo lenu,Lissu na wenzie watafukuzwa tuu,Hoja yako haitaeleweka mpaka uandike neno "mazuzu" ??
Mbowe hawataki hao watu na inasemekana anafanya jitihada na uwezeshaji wa kufanikisha adhima yake hiyo.
Uchaguzi ni zaidi ya kupiga kura.
Mbowe HAWATAKI wajumbe hao.
Lini Msigwa alikuwa na siasa Kali?Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti (Tanganyika) Tundu Lissu kuifanya CHADEMA iwe na mrengo wa siasa kali.
Wajumbe hao Godbless Lema, John Heche, Peter Msigwa, na Ezekia Wenje inaonekana Mbowe HAWATAKI.
sasa za ndani ya Chadema, za EFF ya malema na Together for the Republic ya M.Katumbi zinafanana sana....Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti (Tanganyika) Tundu Lissu kuifanya CHADEMA iwe na mrengo wa siasa kali.
Wajumbe hao Godbless Lema, John Heche, Peter Msigwa, na Ezekia Wenje inaonekana Mbowe HAWATAKI.
Hili swali lako ni tetesi au ni "confirmed infos" na kwa hiyo umeuliza Ili tulijadili?Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti (Tanganyika) Tundu Lissu kuifanya CHADEMA iwe na mrengo wa siasa kali.
Wajumbe hao Godbless Lema, John Heche, Peter Msigwa, na Ezekia Wenje inaonekana Mbowe HAWATAKI.
Usiandike mambo ambayo level yake haiendani nayo. Wewe position yako ni ku philosophize, si kukopi na ku paste mambo ya kutoka mitaani.................nisamehe labda nakuweka kwenye dirisha ambalo si lakoHeshima ya JF haitegemei ninachoandika.
Kwa ivo akitajwa Mbowe ndiyo wengine tunageuka chawa!!
Tupe uthibitishoKuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti (Tanganyika) Tundu Lissu kuifanya CHADEMA iwe na mrengo wa siasa kali.
Wajumbe hao Godbless Lema, John Heche, Peter Msigwa, na Ezekia Wenje inaonekana Mbowe HAWATAKI.
MFITINI!Umoja wa Mbowe, Mdee na Esther Bulaya ukifadhiliwa na mabosi wa Utopolo SC unaenda kuiuwa Chadema
Nimekaa pale [emoji209]
Huh!kama ni kweli nitakuwa upande wa Mbowe angalau unaweza hata kumsikiliza akiongea yuko composed na katulia plus ana support base kubwa ya wachaga na wameru ambao ndio uti wa mgongo wa chadema …