Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,185
- 8,294
Sidhani kama Mbowe na CHADEMA watakuwa wajinga kiasi hicho.Kwani Mbowe anagombea mwaka huu? Hapana kwakweli
Kama chama hakina mtu mwingine wa kuwa mwenyekiti basi hakina hadhi ya kushika serikali.
Maana kupitia chama hicho tunatarajia kupata wabunge,mawaziri,wakuu wa idara n,k