Ni kweli Mbowe kachoka, lakini Lissu sio mtu sahihi wa kumwachia chama

Kwahiyo kura nazo hamtaki mngenyimwa fomu ingekuwaje, Lissu hana ubavu wa kusepa na kijiji kama Self hana base labda asepe na computer warriors wa ulaya.
 
Kama Mbowe amechoka (hawezi tena kuendelea kuongoza Chadema) na Lissu sio mtu sahihi wakuachiwa Chama, sasa Chama kiongozwe na nani?
 
Yaani mtu aliyeaminiwa kwa 100% na Chadema kuwa;
1. Anafaa kuwa rais wa Tanzania
2. Anamudu kuwa makamu mwenyekiti wa CHADEMA.

Vipi tena leo ghafla baada ya kuchukua fomu za kugombea uenyekiti awe hana sifa za kuongoza CHADEMA?
 
Kwahiyo kura nazo hamtaki mngenyimwa fomu ingekuwaje, Lissu hana ubavu wa kusepa na kijiji kama Self hana base labda asepe na computer warriors wa ulaya.
Ni wapi sitaki kura boss, au unataka kunilisha maneno? Subiri wala usijali utaona usichotamani kukiona. Zama za Mbowe zimeshapita
 
Ni wapi sitaki kura boss, au unataka kunilisha maneno? Subiri wala usijali utaona usichotamani kukiona. Zama za Mbowe zimeshapita
Umesema ataibiwa kura hamjiamini.
 
I second this
 
Yaani mtu aliyeaminiwa kwa 100% na Chadema kuwa;
1. Anafaa kuwa rais wa Tanzania
2. Anamudu kuwa makamu mwenyekiti wa CHADEMA.

Vipi tena leo ghafla baada ya kuchukua fomu za kugombea uenyekiti awe hana sifa za kuongoza CHADEMA?
Miaka mitano ni mingi sana watu hubadilika
 
Pwenti!
 
Ni wazi Lissu si mwanachadema kiakili na kisaikoloji, kisheria ni mwanachama
Nje ya chadema hawezi kufanya siasa ambazo lissu anafanya.

Sababu kubwa 4.

1. Hakuna chama ambacho lissu ataenda kujiunga kusiwe na migogoro

2. ACT wazalendo ambaocho kidogo kina nguvu kwa upande wa Zanzibar ni siasa tofauti na za lissu. Lissu hushambulia lkn act wao wanatumia akili zaidi kuliko kushambulia

3. Lissu na team yake watataka madaraka ya juu ya uongozi kwa muda mchache jambo ni gumu.

4. CCM watambana kila atapopita katiks vyama kwa sababu ni looser yaani atakuwa kashatoka chama imara yupo chama legelege.

Hatma yake kisiasa ndio huu.
 
Lissu lazima akudatishe mwezi huu!

Maana hata hizo posho unazolipwa na CCM kumfanyia propaganda chafu humu hata hazionekani kuzaa matunda.

Yule jamaa jifunzeni tu kumuheshimu na kumsikiliza nyie CCM. Maana mnapaswa kujua kuwa yule ni God sent messenger.

Kitendo cha kupona marisasi yote yale mliyompiga kilipaswa kuwafanya mumuogope sana yule mtu
 
Lissu hawezi kufanya kazi na Zitto. Zito ni mwanasiasa huyu mwingine ni mwanaharakati.
 
You're a Sucker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…