Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
FamiliaπNimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la kuteka attention za watu?
View attachment 2990672
Itabidi na we uende clouds ukajibu huko ukiwa liveVitu vya kawaida hivyo. Kwa sie tuliosoma na akina Joseph kabila, ile four figure ipo kichwani yote sio kwa kukariri bali kuelewa. Kwenye kuzidisha kuna mbinu nyingi ukihitaji kujua nitafute kwa wakati wako nikupe misingi itakayokuwezesha kutoboa.
Vitu vya kawaida hivyo. Kwa sie tuliosoma na akina Joseph kabila, ile four figure ipo kichwani yote sio kwa kukariri bali kuelewa. Kwenye kuzidisha kuna mbinu nyingi ukihitaji kujua nitafute kwa wakati wako nikupe misingi itakayokuwezesha kutoboa.
Anaclaim tu,sasahvi ni mchekeshaji ila professional yake ni engeneerHuyo jamaa ni hadhina.
anaclaim tu,sasahvi ni mchekeshaji ila professional yake ni engeneer
hyaKuchekesha ni passion yake na engineer ni taaluma yake
Kuishi katika passion ni RAHA sana endapo ikiwa taaluma yako sio passion yako.
The guy is smarter and intelligent.
Nilisikia kuwa watu wanaokula samaki sana kichwa huwa wako vizuri sana sasa hivi nimeanza kuamini.Mkerewe huyo ki asili hao huwa ni wabad sana kwenye elimu hasa upande wa science na sheria
Duh. mimi ukiniuliza 5Γ3 natafuta calculatorNimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la kuteka attention za watu?
View attachment 2990672
We kiazi ni cram sio claim.Huwezi kucram tarakimu nyingi na mchanganyiko kama hizo anazoulizwa Leonardo bila kujiandaa.anaclaim tu,sasahvi ni mchekeshaji ila professional yake ni engeneer
Nimewafundisha hao wakipenda shule ni wanakupa one za single digit tuNilisikia kuwa watu wanaokula samaki sana kichwa huwa wako vizuri sana sasa hivi nimeanza kuamini.
Nikiwa chuoni nilisoma na Wakerewe,Wajita,Wasukuma,Wahaya aisee hawa watu ni hatari karibia wote GPA zao wanagonga kuanzia 4.0 na kuendelea.
Na hata waliokuwa wanashika best students ukifuatilia unakutana na majina ya kanda hiyo.
We soma tu kuchanganua mzizi wa neno Kwa njia ya matawi....... Unaonyeaha tu Hisabati kwako ni kitu usichokiweza kabisa.Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la kuteka attention za watu?
View attachment 2990672