Ni kweli mchekeshaji Leornardo ana huu uwezo mkubwa wa kufikiri au kuna mtu nyuma ya kamera?

Ni kweli mchekeshaji Leornardo ana huu uwezo mkubwa wa kufikiri au kuna mtu nyuma ya kamera?

Lazima kuna formula anatumia, bila shaka ukiijua na ukapractise unaweza ukafanya, ila ukiwa ndezi kama sam hapo kwenye video, yaani anatumia calculator ila bado spidi ya konokono 😂😂.
Kwanza table iwe kichwani, wengine ile ya 2 tu mtihani, pili uwe ushazifanya fanya sana kama jamaa.
 
Nilisikia kuwa watu wanaokula samaki sana kichwa huwa wako vizuri sana sasa hivi nimeanza kuamini.
Nikiwa chuoni nilisoma na Wakerewe,Wajita,Wasukuma,Wahaya aisee hawa watu ni hatari karibia wote GPA zao wanagonga kuanzia 4.0 na kuendelea.
Na hata waliokuwa wanashika best students ukifuatilia unakutana na majina ya kanda hiyo.
Sasa vipi kuhusu zenji pale tatizo nini 😁??? Maana nao wapo karibu na samaki wale...
 
Ni mfumo wa maisha tu ndugu umeamua hivyo, ila huwa tunamshukru sana Mungu kwa tunu aliyotuzawadia, pia tunajivunia tulichonacho kichwani japo mifukoni tunaweza kuwa watupu kwa vile tunatambua Mungu hakupi vyote😭😭

Ni kawaida tu, kwenye maisha ya kawaida haitumiki four figure wala differentiation.. Kama Mungu alikubless na kitu, atakubless na kingine. Pambana mkuu
 
Ni kawaida tu, kwenye maisha ya kawaida haitumiki four figure wala differentiation.. Kama Mungu alikubless na kitu, atakubless na kingine. Pambana mkuu
Tunapambana mkuu wengine tuna ahueni, japo kuna wenzetu wameishia kukokotoa number na kufikiri nje ya space ila kimaisha tunasema wame-differentiate constant wakapata zero.
 
We kiazi ni cram sio claim.Huwezi kucram tarakimu nyingi na mchanganyiko kama hizo anazoulizwa Leonardo bila kujiandaa.
Tatizo lenu waswahili hamtaki kukubali kwamba mtu amewazidi,mtatunga kila aina ya visingizio ili kumshusha thamani.
Iwe,waguma?
 
  • Kicheko
Reactions: BRB
Back
Top Bottom