macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mbona hatuwaoni kwenye utendaji? Mimi haya mambo ya kupass shuleni eti kuwa na alama nzuri kwa Bongo Mhh..Nilisikia kuwa watu wanaokula samaki sana kichwa huwa wako vizuri sana sasa hivi nimeanza kuamini.
Nikiwa chuoni nilisoma na Wakerewe,Wajita,Wasukuma,Wahaya aisee hawa watu ni hatari karibia wote GPA zao wanagonga kuanzia 4.0 na kuendelea.
Na hata waliokuwa wanashika best students ukifuatilia unakutana na majina ya kanda hiyo.