Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kama ingekua ni kweli basi wapemba wote wangekua maprofesa,wala tusingekua na wimbi la watengeza kacholi.Nilisikia kuwa watu wanaokula samaki sana kichwa huwa wako vizuri sana sasa hivi nimeanza kuamini.
Nikiwa chuoni nilisoma na Wakerewe,Wajita,Wasukuma,Wahaya aisee hawa watu ni hatari karibia wote GPA zao wanagonga kuanzia 4.0 na kuendelea.
Na hata waliokuwa wanashika best students ukifuatilia unakutana na majina ya kanda hiyo.