Ni kweli mchekeshaji Leornardo ana huu uwezo mkubwa wa kufikiri au kuna mtu nyuma ya kamera?

Ni kweli mchekeshaji Leornardo ana huu uwezo mkubwa wa kufikiri au kuna mtu nyuma ya kamera?

Hii ndio shida ya watu kukimbia hesabu binafsi sioni maajabu hapo hasa kama 35 x 35 na 35 x 37 kwenye jibu la 35 x 35 ameadd 70 chapu kupata 35 x 37...pia hizo zengine walizomuuliza zina masifuri mbele ni rahisi....

Hiyo ya mwisho imemshinda akasema namba mbili za mwisho na nmba moja ya kwanza whichi kwa mtu wa hesabu nayo ni kawaida.

After all jamaa yuko vzr.
 
Dogo yupo vzr Sana
 
Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la kuteka attention za watu?

View attachment 2990672
dogo anajua ....
kama akili ni kuvukia barabara tulia tu unaweza kuwekewa mtu nyuma ya camera ukatajiwa na majibu na bado ukataka kumuuliza tena " umesemajeee"🤣🤣
 
Ni rahisi sana kuzidisha namba zenye masifuri au ambazo zipo even unaweza ukazigawa kwa nusu au kuzidisha mara mbili....; Namba zidisha mara 500 huenda ikawa ngumu lakini namba zidisha mara elfu moja alafu gawa kwa mbili ni rahisi zaidi...

Pia katika logarithm kujumlisha, kutoa, ni rahisi kuliko kuzidisha na kugawanya..., ndio maana enzi zile watu walikuwa na Four Figure table.., Lakini pamoja na hayo jamaa anafanyisha ubongo wake mazoezi hence anakuwa yupo sharp (chakula cha akili ni fikra na vijimazoezi)
 
Hivyo vitu vidogo sana kwa waliosoma namba, wala mtu nyuma ya camera.
 
We kiazi ni cram sio claim.Huwezi kucram tarakimu nyingi na mchanganyiko kama hizo anazoulizwa Leonardo bila kujiandaa.
Tatizo lenu waswahili hamtaki kukubali kwamba mtu amewazidi,mtatunga kila aina ya visingizio ili kumshusha thamani.
Umemjibu vyema. Mswahili kukupa compliment labda awe ndugu yako
 
Vitu vya kawaida hivyo. Kwa sie tuliosoma na akina Joseph kabila, ile four figure ipo kichwani yote sio kwa kukariri bali kuelewa. Kwenye kuzidisha kuna mbinu nyingi ukihitaji kujua nitafute kwa wakati wako nikupe misingi itakayokuwezesha kutoboa.
Halafu itakusaidia nini? hesabu zako utazitumia wapi???wakati wasiojua hesabu wala kusoma ..ndiyo wenye hela na wanajua kuhesabu hela tu
 
Halafu itakusaidia nini? hesabu zako utazitumia wapi???wakati wasiojua hesabu wala kusoma ..ndiyo wenye hela na wanajua kuhesabu hela tu
We're not talking about money counting, bitch you don't have even half of what I make per day.
 
Ila wa bongo tunadhaau Sana. Kumkubali mtu ni kama dhambi. Jamaa apewe pongezi zake
 
Back
Top Bottom